bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 874
Mpwa ni kweli usemayo ila hana mdhamana hata kidogo mm jamaa wawili job wamewasomesha mbona mmoja nusura tumzike kazi yake ni kunywa sumu tu mara mbili kapona anabahati kua Israel mtoa roho hayupo pamoja nae mwingine kaenda kumtembelea alie msomesha akiwa kituo chake cha kazi maana aliajiriwa. Kakuta kidume kinahemea ndan alie mlipia na kusababisha apate kazi anagonga mlango kidume kinakohoa ndani khoo khoo jamaa nae nusura afe mawazo kibao gari likatafuta pori Mungu mkubwa kapona
Wadada wanajitetea, kinakaka wanalaumu.
Shapata jibu.....sisomeshi ng'o
Mtoa mada semister ijayo nisipolipiwa tuition fee utalipa wewe na thread yako
Jamaa yangu yameshamsibu hayo majanga!ye mwenyewe anabaingaiza vibiashara mjini hapa lakini demu wake anamsomesha chuo,mwisho demu kamaliza chuo akajichanganya zaidi alimpomsaidia kupata kazi katika idara nyeti sana serikalini.
Kilichompata msiniulize maana naweza kulia
Mimi ndiyo maana girl friend wangu baada ya kumlipia ada nilikuwa kila nikikutana naye lazima nikeshe naye na nilikuwa nikimpa siyo chini ya vitatu yaani mpaka tumeachana roho yangu kwatu yaani tumeachana kiroho safi na sasa ameolewa na nimemchangia mchango wa send off na mpaka kesho nikitaka mchezo ananipa kiroho safi
Idara nyeti nyeti ipi? suti nyeusi au???
and returns of investment is applicable when it means business.
out of business it is null and void
Wadada wanajitetea, kinakaka wanalaumu.
Shapata jibu.....sisomeshi ng'o
nachukia sana mtu nayefanya kitu ili apewe rreturns hasa kama aaliamua kujitolea.
Hii haina tofauti na yule mtu anayesaidia watu kwa moyo mzuri lkn inner conscious inamwambia nategemea kupata fadhila kwa Mungu. Siku zote Mungu huwa hakupi baraka kwa vitu unavyovifanya kwa kujitolea huku nyuma ukiwa na hidden agenda.
Kama ulimwambia nataka nikuoe then take her first afu ndo umsomeshe ili ujue namsomesha mke, ila kama unamsomesha kwasabb unahofia atakuwa anakutia aibu kwasabb ya elimu yake ndogo na hasa unapotoka nae out of inferirity complex unaamua kumpeleka shule ili aweze kusocialize sawa ana wewe asikutie aibu then kubali matokeo akiwa mjanja ama mnasahau kwamba usimuamshe alolala??
kusomesha gf si jambo baya ila sio garantii ya kumuoa manake pia urafiki tu hauwez kujustfy destination wangapi wanakuwa marafiki wazuri lkn wanashindwa kuoana na kuishia kuachana?? sasa kwann wewe ada yako ya shule ikufanye uone kwamba ni ndoa tayari?
acha asomeshwe na wazaz wake ikiwa unataka mke msomi basi mwoe kisha mpeleke shule ukiona vipi katafute anayemeet qualities zako thats it