Usithubutu kusomesha rafiki wa kike (Mpenzi)

for sure ni kweli wanawake wengi waliosomeshwa na maboyfriend wao bada ya kufanikiwa wanawasahau wale waliowapa maarifa.nawahate sana wanawake wenzangu wanaolimbukia maisha ya chuoni
 
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri asiponisaidia mimi atalisaidia taifa nimefanya kwasababu ya love kama haja apreciate sio tatizo langu ni lake

Mpwa ni kweli usemayo ila hana mdhamana hata kidogo mm jamaa wawili job wamewasomesha mbona mmoja nusura tumzike kazi yake ni kunywa sumu tu mara mbili kapona anabahati kua Israel mtoa roho hayupo pamoja nae mwingine kaenda kumtembelea alie msomesha akiwa kituo chake cha kazi maana aliajiriwa. Kakuta kidume kinahemea ndan alie mlipia na kusababisha apate kazi anagonga mlango kidume kinakohoa ndani khoo khoo jamaa nae nusura afe mawazo kibao gari likatafuta pori Mungu mkubwa kapona
 

Investiment without return?hii haipo kwenye ulimwengu wa uchumi
 
Mkuu mleta mada yameshawakuta wengi
 

Attachments

  • 1430074593267.jpg
    38.3 KB · Views: 407

Very well said gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Kama una uwezo una msaidia kielimu sio kutegemea kuja kukulipa fadhila ya kumuoa wengi wakiona HVO lazima akutende tu pole sana mkuu haikua bahati yako.

Unajua nini Diva!?yani mnaanza km wapenzi tu kawaida!mapenz yananoga mwanaume unaamua kujiongeza coz umeshaona kuwa atakufaa maishani na ungependa awe na elimu zaidi na uwe na yf msomi,kumbe mwenzako anakufanyia drama tu akipata alichokitaka anasepa!
 
Kiumbe anaeitwa mwanamke haaminiki,hata awe nani wako,ndio maana hawapewi siri,
sasa kama mtu akijichanganya? Imekula kwake.
Kwanza wenyewe hua hawatupendi ila sisi ndo tunazimika kwa sana
 
Wakati huo unamsomesha huyo mpenzi, baba yake mzazi yu wapi?
 
Mtoa mada semister ijayo nisipolipiwa tuition fee utalipa wewe na thread yako
 

Hahahahaha umenichekesha hapo ulipoandika kwa herufi kubwa UTAJITRAA!!
 
Investiment without return?hii haipo kwenye ulimwengu wa uchumi

and returns of investment is applicable when it means business.
out of business it is null and void
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…