Usithubutu kusomesha rafiki wa kike (Mpenzi)

Usithubutu kusomesha rafiki wa kike (Mpenzi)

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Vijana wa kiume nawaasa "usithubutu, neve ever kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa, acha basi wewe.

Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,

vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea utajuta.Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!Somesha mke na sio girlfriend.

Unataka chukua hutaki acha
 
Yalikukuta nini??

Kuna rafiki yangu yamemkuta!pia mimi nlikuwa na galfrd alikuwa anafanya kazi benki nlishawahi kumlipia ada ya mitihani ya bodi ya bankers,kilichofua ni historia!
 
Kama una uwezo una msaidia kielimu sio kutegemea kuja kukulipa fadhila ya kumuoa wengi wakiona HVO lazima akutende tu pole sana mkuu haikua bahati yako.
 
nachukia sana mtu nayefanya kitu ili apewe rreturns hasa kama aaliamua kujitolea.

Hii haina tofauti na yule mtu anayesaidia watu kwa moyo mzuri lkn inner conscious inamwambia nategemea kupata fadhila kwa Mungu. Siku zote Mungu huwa hakupi baraka kwa vitu unavyovifanya kwa kujitolea huku nyuma ukiwa na hidden agenda.

Kama ulimwambia nataka nikuoe then take her first afu ndo umsomeshe ili ujue namsomesha mke, ila kama unamsomesha kwasabb unahofia atakuwa anakutia aibu kwasabb ya elimu yake ndogo na hasa unapotoka nae out of inferirity complex unaamua kumpeleka shule ili aweze kusocialize sawa ana wewe asikutie aibu then kubali matokeo akiwa mjanja ama mnasahau kwamba usimuamshe alolala??

kusomesha gf si jambo baya ila sio garantii ya kumuoa manake pia urafiki tu hauwez kujustfy destination wangapi wanakuwa marafiki wazuri lkn wanashindwa kuoana na kuishia kuachana?? sasa kwann wewe ada yako ya shule ikufanye uone kwamba ni ndoa tayari?

acha asomeshwe na wazaz wake ikiwa unataka mke msomi basi mwoe kisha mpeleke shule ukiona vipi katafute anayemeet qualities zako thats it
 
Tenda wema uende usisubiri shukrani, naunga mkono hoja kwa 100% ila kama mwanaume umeamua kumsomesha girlfriend basi usitegemee akimaliza utamuoa yaani unatakiwa ukubaliane na yote yatakayotokea maana hawa mabinti wanatuita wanaume ni daladala akishuka mtu anapanda mtu ndio shida ilipo hapo hapo, la huwezi acha kabisa na weka mbali na watoto.
 
Wanaume wenye mtindio wa ubongo pekee mdo wanaweza kusomesha mtu wakitarajia kumuoa baada ya hapo. Kama kweli una mpenda kwa nini usimuoe then ndo aendelee na masomo.

Unajua mademu huwa wana tuchora na kuangalia IQ zetu. Kama una msomesha kwa lengo la kumuoa wakati hujamuoa anakuona wewe ni mburula, sasa ataolewaje na mburula? Mademu wana akili ati
 
Kuna rafiki yangu yamemkuta!pia mimi nlikuwa na galfrd alikuwa anafanya kazi benki nlishawahi kumlipia ada ya mitihani ya bodi ya bankers,kilichofua ni historia!


Ngoja yawakute, huko kwenu ndugu wa kusomeshwa waliisha mkaparamia mliokutana njiani?
 
Vijana wa kiume nawaasa "USITHUBUTU,NEVER EVER kusomesha girlfriend eti kisa unatarajia utakuja kumuoa,ACHA KABISA WEWE.

Wasichana wengi ni ma-drama queen,atakunyenyekea ili umsomeshe na anaweza akakubali kuolewa na wewe sio kwamba kakupenda ila tu anataka kulipa fadhila,vurugu huwa inaanza akishapata kazi nzuri ya kumuwezesha kujitegemea UTAJUTRAA!

Jamaa zangu watatu sasa hivi wanajuta!

Somesha mke na sio girlfriend!

Unataka chukua hutaki acha!
mke na gelofriend wote sawa. ukijitia kimbele mbele kuwasomesha itakula kwako
 
Kama ni mchumba inakuwaje, umeshatoa posa na mahari, unasubiri ndoa, hapo inakuwaje
 
Mambo hayo bana
 

Attachments

  • 1430072770467.jpg
    1430072770467.jpg
    20.2 KB · Views: 760
Back
Top Bottom