Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

kamati

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
240
Reaction score
109
Ndugu zangu,

Katika kuishi na watu mbalimbali na kuchunguza ndoa zao kuharibika zifuatazo ni sababu zinapaswa ziangaliwe kwanza

1. Usithubutu kuoa katika familia ambayo ni ya kisimbe kwa sababu watoto hawatokuwa na maadili mazuri ispokuwa tu labda baba yao awe amefariki kwa bahati mbaya

2. Usioe katika familia ambayo kila mtoto ana baba yake hata kama huyo mama mkwe ana mme kwani wale mabinti watakuwa na mfumo huo huo tu wa umalaya.

3. Usioe sehemu ambayo mama anaonekana kuwa na sauti kumshinda baba na hao mabinti utakaowaoa watakuja na hilo wazo la kutaka kukutawala kama mama yao anavyomfanya baba yao.

4. Ukitaka kuoa chunguza kaka zake na mchumba wako ukiona ni walevi, wazinzi, wezi, waropokaji, wagomvi, piga chini huyo kwani naye atakuwa hivyo hivyo.

5. Usioe mwanamke ambaye kwao ni maskini mno kwani atakuibia na atajenga kwao au kukuroga akuinamishe ili kila analokwambia ufuate na hata kukuua ili arithi mali ni hatari mno

6. Usioe demu ambae kwao wana mambo ya ushirikina, ni hatari!
 
kwa kuongezea usioe mwanamke anaekuzid elim kwani nyote mtakuwa na sauti labda angalia mwanamke mwenye maadili ya dini henda itasaidia hivyo basi we mwanamme chunguza sana sio mnakutana chuo oficin fb jf ciku ngapi ngapi umepewa penz umenogewa unatangaza na ndoa shauri yako kosea yote ila ucikocee kuoa
 
Dah! Nakubali mawazo yako hapo juu ni ya msingi, hasa unapotaka kuoa kwenye familia ambayo Baba na Mama waliachana, ni ukweli ambao nimeuishi, ila kwenye 5 na 6 sikubaliani na ww.
 
Umevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkosoe bila kumdhalilisha
 
,,,,,,,,,,,,,,,,,,we jembe!!!!!!.....NAOMBA UTUAMBIE NA DEMU WA NAMNA GANI TUOA KWAN UMEEGEMEA UPANDE MMOJA!,,,,,,ANGALIZO;-MKE MWEMA ANATOKA KWA MUNGU!!!!!!
 
Usioe binti aliyekulia familia ya single mother.
Usioe binti aliyekulia familia ya single mother na hana mahusiano mazuri na baba yake....huyu ni toxic!
 
hapo ckubali usioe mke masikini kwani atakuibia kumbuka mke masikini ndio mzuri kwani anakuwa hapendi mambo makubwa na vile vile unaweza kuish nae kwa amani kwani ww ikitokea mwanamke unamtaka alaf yeye ni tajiri huna haki ya kumuoa kwa kuwa utamuibia mali zake kumbuka wizi ni tabia ya mtu ambayo ameizoea hata kama yuko vp na tathmini inaonesha matajiri ndio wizi na maskini wizi ni kidogo sana kuliko matajiri
 
asante mtoa mada. naomba mnisaidie nina rafiki yangu amekuwa anashutumu sana wasichana wanaotegemea kula sweets toka super markets .anasema siwezi kuoa mtu anaetegemea supermakets atanifilisi je ni kweli?
 
Back
Top Bottom