Mnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.
Kubadilisha jina la mtoto?,hii sio nzuri shida itakuwa kwa watoto wakikuwa watajisikia vibaya,. Ila kuongea lugha ya mama, baba anakuwa wapi mpaka watoto wajue lugha ya mama tu?na kama mmetengana yupo kwao na watoto hiyo haiepukiki lazima watajua lugha ya mama tu hata kama, angekuwa mhaya, au mchaga,
Pia sio kila baba anaweza kuachiwa watoto pindi wanapotengana, kama mlevi, mgomvi analala kwa vimada aachiwe watoto kweli?mama anayejitambua hawezi muachia mtoto baba asiyejitambua, hiyo ni kwa mama yeyote sio mnyakyusa tu, hasa kwa dunia ya leo hamchelewi kuoa na watoto kuanza kunyanyasika.Mimi sio wa huko lakini imani yangu nikuwa kama mama anajitambua ni vizuri akae na watoto ni salama zaidi kwa watoto, baba ukiweza wahudumie na kuwa nao wakati wa likizo tu kwa usalama wa watoto.
Kama baba anatabia njema kashindwa kwenda kwenye sheria achukue watoto wake kama kweli anawahitaji?
Na umalaya/unafiki ni tabia ya mtu sidhani kama ni kabila.
21 imenishtua,wakwanza kakusumbua,wa 2,3,4,5,6,7,8,9...21 ulikuwa unaondoa hasira na kuwakomoa kwa sababu ya aliyekukimbia?au walikuwa wanajiuza unawanunua?. kama yalikuwa ni mahusiano kamili basi hata wewe unashida tena kubwa.
Kuolewa/kuoa kabila jingine hasa waliokulia kijijini kwenye asili yao yatakiwa watu wanaojitambua sana.na wenye upendo wa dhati, maana mkigombana tu inaonekana shida ni kabila wakati si kweli. Siku hizi tunapuuza sana kabila lakini bado kuna watu wengi tu wanaathirika na ukabila,labda mkutane wote mmezaliwa na kukulia mjini, laikini wanootokea kwao asilia ukabila bado upo, majirani ,ndugu,wazazi, marafiki inachukua muda sana kumkubali na kumuamini mwanamke anayetoka kabila la mbali. na wengine watamsema mwanaume live kwanini ameoa mbali, kama hana msimamo hachelewi kuanza kumnyanyasa na kutafuta nyumba ndogo au mke wa kabila lake.
Nibora kujua changamoto za kuoa/kuolewa na kabila jingine mapema, ni nyingi sana,na zinasumbua hasa kama mwanaume hana upendo wa dhati kwa mwanamke. upande wa mke mara nyingi kabila sio tatizo sana.