Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

1.Mie mtu wa Mbeya, wanyaki hawa ni rahisi sana kuwapata ila hata upekeche usiku na asubuhi bado ujue kuna wenzako wanakula mzigo.

2.watoto wa mama mnyakyusa wengi hulelewa na mama peke yake maana ndoa hua hazifungwi na zikifungwa basi hazidumu .

3.mkiwa out ama mnatembea mkakutana na mtu na utambulishwe kwamba ni kaka au shemeji jua tu huyo anakula au alishakula mzigo hapo

All in all kwa Mbeya kuna wanyaki, wanyiha, Wasafwa na makabila yaliyohamia mbeya kwa wingi kama wakinga na wabena kwangu mie mzaliwa wa hapa mbeya naona wabena wapo safi sana endapo wewe kama mwanaume utampenda kwa dhati, ni watu wanyenyekevu, wachangamshi, na waaminifu kwa wapenzi wao wa kiume
 
Naona unaanza kutudanganya, wabena na wakinga wako mkoa wa Njombe.
 
Dharau na ukarimu vinaingilianaje sasa sr, huwez kuwa na upendo na chuki kwa pamoja, mpaka hapo ushanikosa maana nilikuwa nakulia winger lakin leo nimesitisha.
 
Me am not marry mnyakyusa. my wife from njombe very sweet beutiful wife. small small not fat not slender like a stick. very intelligent.
Mkuu, hiyo lugha gan? Ndo kinyakyusa ama kichaga?
 
Dunia ya sasa maisha yalivyotight wanaojielewa wote ni waangahikaji. So swala sio unyakyusa au ukinga,issue ni kujielewa tu.
 
Hamna kabila TZ hii kwa upande wa wanawake litafikia sifa nzuri walizonazo wanawake wa kichaga,msijidanganye,hao wanyakyusa ni chenga yaan ni bora hta uoe mzaramo ujue moja...
We wachaga wazuri sura tu ukiishiwa anakukimbia ukiwa nazo anakuwaisha
 
Naishi huku Mbeya ingawa si wa mkoa huu, nimekutana nao hao Wanyaki muda wote nilioishi toka utoto dar es salaam, na sasa nipo Mbeya. Nawashauri kama unataka Maendeleo usioe Mnyakusa. Sio wanawake ila ni taabu zilizoletwa duniani, Ila kama unataka kuwa profesa wa matatizo na changamoto basi oa mnyaki.Wanajua kugawa uchi tu, na kila mwanaume anatamani ampitie. Kama unabisha nenda Kimboka kawaone walivyojipanga na kujisifu kuwa kabila la pili kuiza uchi Tanzania baada ya wahaya!!.
 
Kuna kabila ambalo wanawake wake hawazushiwi umalaya hapa tanzania?
 
Kwel hi number 3 very true Kbs ni Malaya Sana
 
mhhhh vipi wachaga na wakinga kwenye utafutaji naona wapo juu zaidi ya mnyakyusa

hapo bora mkinga mta muua mtoto wenu wa kwanza mchaga anakuua wewe mwenyewe WACHAGA WAACHE WAOANE WAO KWA WAO WATATUUA MAKABILA MENGINE pingeni wachaga acheni kuua waume zenu
 
Wanyakyusa shikamooni maana sifa zenu ni mbaya sana tofauti na jinsi mnavyojidai wakarimu kwenye sherehe/misiba. Mmeshiba na kutuna kama mnatumia HAMIRA. Sometimes mnaboa jameni. TUNUNU!!
 
Naungana na wewe Mkuu.Mimi pia nipo Mbeya mwaka wa tatu huu japo sio mzaliwa wa huku.Ni balaa tupu.Ile issue ya maji mara moja nlijuaga ni story kumbe ni true kabsaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…