Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Hata unipe mnyakyusa bure na mahitaji ya bure mwaka mzima siwataki hata kuwaona ni wa binafsi mbaya na niwatu wenye roho mbaya wanafiki wajuaji wanataka wawe juu ya mwanaume yani ni shida tupu!!!
Hahahaa eeh yamekukuta...
 
A mnyakyusa woman. very enterprising hard work. very many words like mzaramo. hut not very good it give neighbour her household in private parts
not trustful enough.


Duuuuuuh! Mkuu nimependa kingereza chako !!!!!!!
 
Sijaona kama mtoa mada amekosea kusema, yeye ameona hivyo hao makahaba na wengine waanzishie thread yao.
 
Kyelaaa napakumbukaa.., patamu sana .. Mchepuko wangu upo Dar sasa..niliupata kwa tabu sana pale Kyela. Hadi leo tukikutana twakumbushia enzi..
 
Kyelaaa napakumbukaa.., patamu sana .. Mchepuko wangu upo Dar sasa..niliupata kwa tabu sana pale Kyela. Hadi leo tukikutana twakumbushia enzi..
Karibu tena kyela..
 
..i think hilo ndio kabila linaloongoza kwa watoto wa kike kuwa na sura za kiume!
 
Ha ha ha wanyakyusa. Kwanin wasiwe wangoni, wanyasa, wazaramo au ata wakurya. Mie najua mwanamke yoyote anaweza kuwa na tabia mzuri au mbaya. Pia kabila lolote linawezakuwa na wanawake wazuri wa sura ata wabaya pia. Kwamaana hiyo mtu anayesema wanasura ngumu ndo aliokutana nao. Lakin sio wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…