Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Hakuna kabila lililo kamilifu chini ya jua. Wala mwanadanu. Niamini katika Wanyakyusa kuna walio safi kwa kuoa na wasio faa. Kama ilivyo kwa makabila mengine.
 
Ndio hadithi za Abunowasi hizi mkuu. Eti kawala 21. Mpaka wanafika idadi hiyo yeye bado anao tu pamoja na kosoro zote hizo. Tatizo kuna watu wana inferiority complex na huyo jamaa ni mmoja wao. Tumpuuze tu.

Na iwapo kawala 21 - naona bora angeficha aibu yake, maana huu ndio umalaya uliokubuhu!
 
Mkinga ndio mke wa shida na laha sio mnyakyusa hawa ni wauza bia bar hawa tulii na dume moja.
 
Wanawake wa kinyakyusa ndio wanaowatafutia chakula waume zao!!hongereni kina mama wa kinyakyusa!!!
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.

Naona sasa watu wameshawashtukia sasa unafiki wao na uuaji wao ukiasisiwa na ukahaba an uzinzi wao umejulikana sasa hawana soko. Na hii ndiyo sababu unaanza kuwapigia kampeni. Kuwatembeza hapa mtandaoni ni kuwadhaliisha. Na vile wana sura na matumbo kama usiku!, afadhali usirudie tena kuwawka hapa maana unazidi kuwaharibia.

Kibaya chajitembeza kama wanyakyusa mitandaoni na kizuri cha jiuza kama wanawake wa kifipa na kisukuma kwa mfano.
 
Back
Top Bottom