We are born to be leaders jamani...yaani inatokea automatically zoeeni tu..kama mambo ya msingi unapata hizo nyingine fumba macho..
Wana sura ngumu sanaa lo
Kuna makabila wanawake wa kinyakyusa huwaambiwa wasiolewe nayo, tatizo usipozingatia hilo ndo unaishia kuolewa na type hii inayotukana. wanawake wanyakyusa.
Mwanamke wa kinyakyusa ni dhahabu, jitihada zangu zote na bidii zangu zote sikupata Neema na bahati ya kupata mwanamke mnyakyusa.......NASIKITIKA SANA
Me mnyakyusa ila Sura yangu lainiiiii......mzigo upo kwa nyuma,mguu ndo balaa.Nyakyusa oyeeeee
Wanachuana 1. Mnyakyusa 2. Mchaga 3. Mkinga 4. ------ 5. Mzaramo
Me mnyakyusa ila Sura yangu lainiiiii......mzigo upo kwa nyuma,mguu ndo balaa.Nyakyusa oyeeeee
Mie kk kwetu ila mmenitukania dada zangu hapa sijafurahia.
Mliosoma Rungwe enzi za Tende na Mwalituke, mpo hapa? Tukumbukane
Ni wa kuhesabu wallah tena
Kiukweli wanawake wengi wa KINYAKYUSA wana sura NGUMU MNO. na mishepu ya ajabu ajabu. Nafikiri mazingira waliyokulia na ndizi zinawaharibu sana.
Bhalipo pa Mbwani! miss strong nnuguna gwetu alena mahala fijo kangi muno mwa MMU akana nyambala;anaheshimu ndoa!Naloli kalumbu tulinagwe!Anatulindia heshima hapa!
Omenye bhakikuro muno bhingi fijo bhikobhomba sya soni?
umesahau kitu kimoja "wana maumbo ya kiafrika yaani miss Bantu"
Wanachuana 1. Mnyakyusa 2. Mchaga 3. Mkinga 4. ------ 5. Mzaramo