Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Mi sio mnyakyusa ingawa nimezaliwa Meta hospital na kukulia Isanga. Hivi kwa nini huwa mnawachukia sana wasafwa na wao wanawachukia nyie?
Cc: Idimi, Baba V

Mwana wani wasafwa ni watani wetu, ugomvi wetu ulianzia miaka mingi iliyopita pale wanyakyusa tulipokuwa tuna expand kuelekea pande za Mbeya kutokea tukuyu.
 

Ukabila na mfumo dume vitakuua wewe! Wamekukomesha!
 
Mie nimeshawamwaga kama wanne hiv kipindi nipo mby city...they knw how to love,they are hardworkers tatizo ni wabishi sanaaaaa.Pia wanapenda kutawala vibaya mno

We are born to be leaders jamani...yaani inatokea automatically zoeeni tu..kama mambo ya msingi unapata hizo nyingine fumba macho..
 

Ndagha!
 

Mnatafuta hela za nini kama hamuwezi kuzitumia..mnazichungulia kwenye kibubu/akaunti loo! wakinga tunawasikia hela zenu zina masharti mazito!
 
Mie kk kwetu ila mmenitukania dada zangu hapa sijafurahia.
 
Kiukweli wanawake wengi wa KINYAKYUSA wana sura NGUMU MNO. na mishepu ya ajabu ajabu. Nafikiri mazingira waliyokulia na ndizi zinawaharibu sana.
 
Mie kk kwetu ila mmenitukania dada zangu hapa sijafurahia.

Mliosoma Rungwe enzi za Tende na Mwalituke, mpo hapa? Tukumbukane
 
Ndagha Fijo! Kina dada toka mkoa wa mbeya kwa mauno mpo juuuuuuuu!!! SALUTE kwenu
 
Wanykyusa wote wanaroho mbaya sana sio wa kyela wala tukuyu. Roho zao ni nyeusi kama sura zao zilivyo ila hujifanya wakarimu machoni.
Kwa mnyakyusa utapokelewa kwa namna ile ile unayoingia nayo.
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.

tihitihitihitihiiiii
 
mhhhh vipi wachaga na wakinga kwenye utafutaji naona wapo juu zaidi ya mnyakyusa

Mademu wa kichagga si watafutaji bali wachunaji na hawana mapenzi ya dhati. Demu wa kichagga/mpare anamsukia mipango mumewe auwawe ili arithi mirathi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…