nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
ndio maana nakwambia unakurupuka kujisemea bila kutathmini mara nyingi ukiona mtu analogwa ugenini ujue yeye ndio kaanzisha tabia ya kuroga watu..... Binafsi siamin ushirikina na siwez kurogwa pasipo na kosa..... Yawezekana huyo ndg yako alianza kuchoma watu..... Wachunaji wa ngoz sio wanyakyusa kama hujui uliza uambiwe..... Unaweza kuusema uchawi kumbe ww ndio hamlali usiku mnakesha kwenye makaburi....... Ukitaka kujua ushirikina wa mbeya kawaulize wakinga watakwambia
Yeah....nine ngwitika,abalumbu bangu banunu fijo kangi bakabakonyofu.
Yes.....tena wa kyela
Mnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.
wacha waringe bhana, kwanin watangaze shida zao ili hali ni wahangaikaji? nawapenda sana kwa msimamo wao, wakitangaza shida wataonewa bure, dharau yao sasa, mbona utajihic kopo la choo
Yes.....tena wa kyela
Dada yangu hakurogwa...walimroga ndugu yao (if they did)[/QUOT mbona mnawaonea sana wakinga
Sasa Mbona pm zangu hujibu?
Kikolo olipo?Ngobhoka kwa Kyela kwega obhwegi
Mimi nimeoa dada wa kinyakyusa ni mzuri sana hata mnyarwanda hafikii, tatizo lao ni kujifanya hawana shida kwao,. Ila kwa bidii na maarifa wanatisha
you must be a hoe you cant discredit a mother of your children like this stupido
You must be impotent and with psychological problem,you can't handle Kyusa woman if unfit.
Tulipo gwangu....kwa kyela??poki??
Pakaja pa myetu nkafundo pa Pa Ipinda,lloli nkikulo komywabho ko Talatala!
ok,nimekuelewa, pole sana.