Usithubutu kukutwa....

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,957
93,938
Simba mwenda pole...

73281_127662437291085_100001419871855_152544_4266333_n.jpg
 
Inasikitisha sana,inaonekana kabisa Simba huyu uwezo wa kuwinda hana na ndo maana anavamia na kuua binadamu.
 
Yakikondaga hivi yangeukaga kula hata watoto wao. Ndo taabu ya kutegemea chakula moja pekee.
 
du,huyu aliyekonda namna hii hanili.
Usiseme hivyo mkuu, ukute jamaa aliondoka kijijini kwao jana asubuhi amesukuma baiskeli usiku kucha, hapo jua limesimamia utosini siku ya pili na hajala tangu jana, huko njiani amekunywa maji mtoni mara moja tu unategemea nini kama sio kuliwa. Kitaalam ukikumbwa na hamaki kama hivi na tumboni hauna kitu lazima uharishe kwani Adrenaline hua haifanyi kazi kwasababu hakuna sukari (ATP) yakuipa misuli nguvu ya ziada.
 
maisha haya jamani acheni tu!! watoto wanasubiria home baba kaenda kusaga mahindi kijiji cha tatu loo!
 
Back
Top Bottom