Usiteme mate!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Usiteme mate..............
 

Attachments

  • IMGP0246.JPG
    IMGP0246.JPG
    340.9 KB · Views: 162
mji msafi sana huo, lkn sasa nasikia mji unao ongoza kwa usafi TZ ni Iringa. hongera sana kwa uongozi wa miji hiyo.
 
sikuwahi kwenda Iringa ila usafi wa Mo town nimeuapriciate, hongera viongozi.
 
halmashauri ya mji wa moshi inaongozwa na chadema ndio maana hakuna ubabaishaji pale,hao wanaokukamata hata uwape laki hawapokei watakupeleka kwenye uongozi unalipa hamsini alfu unapewa na onyokali hen unaenda na mambo yako.chadema tu wasafi jamani hilo halina mjadala,fanyeni mabadiliko kwenye maeneo yenu nanyi muwe wasafi kama sisi/
 
mji msafi sana huo, lkn sasa nasikia mji unao ongoza kwa usafi TZ ni Iringa. hongera sana kwa uongozi wa miji hiyo.
Nilivyosikia mie Mwanza ndo inaongoza kwa sasa. Ila Moshi napakubali.
 
I like that! Ustaarabu wa kwanza kabisa ni kutokutema mate hovyo ikifuatiwa na kutokuvuta sigara hadharani, and finally kutokukojoa njiani (barabarani). HONGERA MOSHI KWA KUZINGATIA USAFI!
 
Back
Top Bottom