Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Nina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea

Ukute ni wewe maana naye yuko humu I guess 80%
Basi anasema yeye kaoa mke tu hajaoa familia. Mke kwake sio ndugu ni life partner muda wowote anaweza kumuacha akaolewa kwingine ila ndugu zake atabaki nao. So anaishi na mkeww kama kutake risk.

Anakuambia kama ndugu wa mke walikua wanaishi vizuri kabla ya kumuoa mwanao basi hata alivyomuoa wanaweza kuishi vizuri. Hivyo wasitegemee msaada wowote toka kwake...kao mke tu sio ndugu au wakwe.

Jamaa anapoint ila kuzishika hizo sheria binafsi Yahitaji uwe unaujasiri wa kimasai kama alivyo masai.

Nikikumbuka module ya Respect Value kwenye Life skills basi naona yupo sahihi..maana kila mtu na Value zake

Huyo jamaa ni noma
 
Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.

NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki

**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Shida ya kulala vikaoni ukitoka hakuna ulichosikia
 
Nina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea😆
Hapo aombe asikutwe na matatizo akahitaji msaada
 
Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.

NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki

**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Dhumuni la waraka huu ni kuhusu hapo nilipopakoleza;
Naona kama fursa hiyo mkuu,
Tupeleka Azam au Stataimz?:cool:
 
Ndugu yangu,kakomaa anataka aoe Mchaga,ngoja tuone mwisho wake.Ndugu zangu wamemtahadharisha,ila hataki.
 
Back
Top Bottom