Usitafute pesa; ifanye Pesa ikutafute yenyewe

Usitafute pesa; ifanye Pesa ikutafute yenyewe

Kuna formula ukiifata wengine wanaweza kukushangaa lkn ww unajua unafanya nini.

Huwa nasema ukifanya jambo kwa kisingizio eti ningefanyaje na nina njaa. Hiyo njaa haiwezi kuisha na utaendelea kuwa wa bei nafuu. Kwasababu ww ndio unatengeneza mfumo direct au indirect.
Mtu kabla hajakutafuta anajua fulani bei zake huwa zikoje na kazi zake zikoje.

Naam
 
Back
Top Bottom