Usisubiri hadi ustaafu ndio uanzishe biashara

Usisubiri hadi ustaafu ndio uanzishe biashara

Kuna shida gani au changamoto zipi kustaafu ndipo ianzishe biashara.Kwani wastaafu wengi si umri miaka 55 hadi 60 umri huu bado ana nguvu
 
Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+)

Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani.

Disclaimer: Mapenzi yafutwe.
Uzi tayari
Baada ya kustaafu nikaajiriwa tena, mshahara mkubwa zaidi ya ule wa serikali ya mapinduzi. Biashara ya nini mkulungwa?
 
Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+)

Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani.

Disclaimer: Mapenzi yafutwe.
Uzi tayari
Haaha.....kweli aisee. Mtu anasubiri astafu ndio afungue Bar, Grocery au afuge kuku.

Kwanini kama alijua atafanya biashara asingeanza mapema hata kwa mtaji kidogo kidogo?
 
Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+)

Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani.

Disclaimer: Mapenzi yafutwe.
Uzi tayari
Mapenzi yafutwe wapi?
Mapenzi yaliandikisgwa wapi?

Note: napenda mapenzi
 
Back
Top Bottom