Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,976
- 2,173
Pole sana, inawezekana nimekuboa sana lakini binafsi ninahisi wewe ni moja tu ya ma'mbwiga' wengi waliojificha ndani ya mjengo huu, JF, wakijiita 'great thinkers' wakati si lolote. Great thinkers hawakurupuki! Huko st. nini sijui, ama popote unakokujua wewe kuna wazazi/walezi hata watoto wa uswazi wana wazazi/walezi ambao bila shaka wanachangia kuharibika kwa watoto. Remember, no one is born evil, uovu wote tunajifunza hapa hapa duniani kutoka kwa waliotangulia kuliona jua. Hapakufai hapa, katafute forums nyingine nje si JF. Pole.
Tukumbuke kaandika hili bandiko jana jumamosi kati ya saa moja na mbili asubuhi, na tukumbuke juzi Ijumaa kulikuwa na send off nyingi tu, tutajuaje, labda kafakamia huko kila aina ya kinywaji (Valuu, Safari, Champagine, John Walker etc) pamoja na zilizotengwa kwa ajili ya high table. Alipotoka huko kwenye sherehe usiku saa nane akaingia mtandaoni huku maluweluwe kibao kichwani na kuanza na heading "Usisome hapa", na halafu akaenda ku-cut and paste mada kuu toka kwenye My Document, mada hii aidha ni yake ya awali au kachakachua toka hukoooooooooooooo anakokufahamu!!!! Msameheni alikuwa hajui atendalo, ila mpeni hongera mada kuu inatoa ujumbe mzito na wa kuelimisha wazazi na walezi walio makini!!!
UNAVUTA MAJANI SIO?HeaDING GANI HIYO
Oct 2010????? Haiiiii uwiiiiiiii yehuuuuuuuu ote mayiiiiiiiiiiiiiii
Jamani me sijasoma, nimejump tu kwenye comment, vipi kwani ameandika nini jamaa? unajua wakati mwengine ukubwa dawa, na masharti ni muhimu, nimeogopa kupofuka macho.
Desidii, usishangae, huyu ndiye mmoja wao wa wale "Uchaguzi Masalia"!!!!
Hivi ujumbe ulio kusudia umefika kwa walengwa?
hivi hii habari inahusiana na mapenzi kweli.....au mimi ndio kilaza
Nimekuelewa na watakuelewa tu kama wanataka maana maudhui ya uliyoandika yanaendana na aina ya ushauli wa walezi wengi na heading yako ime prove kuwa kumukataza tuu bila detailed reasons inakuwa ni motivator ya kujaribu alichokatazwa.
karibu na wewe..
hata we mmoja wapo aijili umejibu..
Usisome hapa!
Linapokuja suala la kujihusisha na mapenzi katika umri mdogo (ama hata mambo mengine yenye matokeo hasi kwa watoto) wazazi wengi huwa hawawi wazi kwa watoto wao kiasi cha kutosha kuwaonesha wazi wazi madhara ya kujihusisha na ngono katika umri mdogo. Wanasema tu, 'usifanye hivi, usifanye vile' nk. Watoto wengi, kwa udadisi wa kutaka kujua ubaya ama uzuri wa kufanya ama kutofanya walichokatazwa kufanya na wazazi wao wameishia kuharikiwa na kupoteza ndoto za muda mrefu za maisha yao lakini yote ni sababu wazazi hawakuwa wazi kiasi cha kutosha kuwapa msimamo thabiti katika kujenga maisha yao. Mara nyingi watoto hufanya kile walichokatazwa kufanya iwapo sababu za kufanya ama kuto fanya hazikuwekwa wazi. Tujitahidi sana kutoa sababu za msingi tunapokataza watoto kufanya kitu fulani chenye matokeo hasi ili kuwaepusha na matatizo yanayoweza kuwapata pindi wanapoamua kujitafutia sababu za kwa nini wafanye ama wasifanye walichoambiwa wasifanye. Tena tufanye hivyo at the right time! Waharifu wa kwanza wa mtoto ni wazazi! Unadhani kuna sababu ya msingi kuwaficha watoto ukweli wa mambo kwa dunia ya leo? Kumbuka, asiyefunzwa na mamaye, ulimwengu utamfunza!
Safi kumbe hata we unapeleka mchupa lolmi nimelewa konyagi.cyo hiyo mliyolewa nyie!
Safi kumbe hata we unapeleka mchupa lol
Mie mzima kabisa dear. .Wa home chupa muhimu bana. Mzima lakini????