Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 557
Mkome nyie si mnaona fasheni kila siku kubadili viongozi wa CCM tuu wanaiba na kulindana.... Mtafadhaika sana na mtaona kila rangi msipo badili mfumo wa utawala na kuweka UKAWA on place....
How? Mkuu

Wakati Serikali yetu ipo bize kufilisi mashirika ya uma kwa ufisadi na kulinda mafisadi, majirani zuut Kenya wao wanaendelea kutuacha kwa kasi.
Aliyeturoga sisi alishakufa.
![]()