Eeeh Mungu, unisamehe, najuta kuzaliwa katika kipande hiki cha Dunia kiitwacho sijui nini Tanganyika, Tanzania Bara....sielewi naishi wapi.
tutafika tu
japo kwa kuchelewa
tutafika tu
Wakati Serikali yetu ipo bize kufilisi mashirika ya uma kwa ufisadi na kulinda mafisadi, majirani zuut Kenya wao wanaendelea kutuacha kwa kasi.
Aliyeturoga sisi alishakufa.
![]()
tutafika tu