Usishabikie sana mwaka mpya mana kitakachobadilika ni kalenda tu ila mume/mke, kazi, Bosi, na Mshahara utabaki uleule NA KUISOMA NAMBA KUPO PALE PALE !!!
Ila kubumbuka kuna watu ndio wanamaliza vifungo vyao jela huu mwaka
Kuna watu ndio mwaka wao wakufunga ndoa
wapo ambao ndio mwaka ambao wanaajiriwa, wengine mishahara itapanda, na wengine vyeo kazini..
wengine ndio mwaka waliohaidiwa kuanza shule, wengine ndio wanamaliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.