Usisafirie nyota ya mwenzio.

Usisafirie nyota ya mwenzio.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
uploadfromtaptalk1355248052823.jpg
Kumbe yawezekana eeenh!
 
atakuwa chura na panya wa kizungu,wa kibongo walivyo na roho mbaya,ingekua stori nyingine,labda panya angemla chura wafe wote,au chura amzamishe panya,au labda panya amzibe macho chura,au amzibe pua......
 
sie wa siku hizi tukiona hivi tu tunakimbilia kusema wanacheza mchezo mbaya!
 
Kuna moja wakati wa mafuriko ya kule New Orleans alionekana chura mgöngoni mwa nyoka wana save maisha yao
 
Hapo ni kujimbembeleza na kujifanya rafiki mwema mwanzo mwisho ili mradi maisha yaendelee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom