Usiri kwenye mahusiano.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiri kwenye mahusiano..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lila, Aug 14, 2012.

 1. l

  lila Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je ni vizuri kua na usiri katika mambo unayofanya kwa mwenza/mke/mume/mchumba?Mambo hayo yanaweza kua ya

  kifedha,kikazi,kimampenzi ama ni sawa kua wazi kwa kila jambo unalofanya ama unalofikiria?Manake kibongo

  bongo kudanganyana ndo mpango mzima,,,,Kwa mfano mimi napenda saaaaana ukweli,sipendi kudanganywa

  hasa na mtu ninaempenda,ila mtu akinidanganya naona ndo hanipendi,,wht do u thnk guys uongo ndo unaodumisha

  mahusiano????????
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Mpango mzima ni kudanganya mwanzo mwisho.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Siri na uongo ni vitu viwili tofauti, katika mahusiano ni bora kuwa msiri sana hasa upande wa uchumi, lakini usiwe muongo. Mahusiano yanapovunjika hasa kwa ugomvi au kinyongo, wanawake siku zote hufanya kila njia kujaribu kuharibu maisha ya Ex wake, sasa kama ulikuwa umempa siri zako atakumaliza kirahisi.
   
 4. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kuna baadhi ya vitu sio vya share e.g atm #, my JF password, jeneza, how much toilet paper u use per session etc. hii ni natural sio mambo ya usiri/uongo, naona wewe unataka mwenzio akupe data ambazo ni 'too personal' na hii sio healthy kwenye mahusiano
   
 5. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  siku zote ukweli humuweka mtu huru ninapenda sana kuambiwa ukweli hata kama unauma kiasi gani kuliko kudanganywa kwa sababu,hakuna kitu nisichopenda kama kudharauliwa na mara zote mtu anayenidanganya huwa ninamuweka katika kundi la watu wanaonidharau cwezi kuendana naye.
  Usiri for wat?..
  hata mambo yangu ya kiuchumi mpenzi wangu ninamshirikisha sababu yy ndy budget planner mimi consultant!....
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah wee kuwa muwazi tuu ata atm number mpe, mshahara wako ajue unapata shillingi ngapi yaani watu wanachoshindwa kuelewa ni kuwa wewe unapo kuwa muwazi na maisha na miendeo yako ni vigumu sana mtu msiri na muwongo kukukaribia kwa sababu yeye kugundulika ni rahisi sana
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  A woman's heart is like a deep ocean full of secrets they r always complicated
   
Loading...