Ducinaltum
Senior Member
- Oct 9, 2022
- 184
- 144
Mkuu, siyo kweli kabisa. TISS ndo mambo yote kaka. Hiyo ndo roho ya nchiUsalama taifa mnavyowachukulia mnawapaisha sana.
Hao hadi polisi wana hadhi ya juu kimamlaka, hao ni watumwa wa ikulu na rais aliyepo madarakani.
Ila kiutendaji wapo kila kona.
Wenye nchi yao ni hayo majamaa ya bakabaka ndiyo yaliyopewa nguvu ya ulinzi wa nchi.
Madogo wa usalama wanatishia sana raia wema.
Huyo siyo TISS, ni green guard hao. Enzi za mwendazake waliingizwa wengi sana. But ni vijana wa chama, japo nao walikuwa wanatisha watu ili waonekane ni usalamaRafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko.
Huwa nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe.
Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Sasa na wewe ndo umechanganyikiwa, unalinganisha CIA na nini hicho bwasheeKwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?
Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba
Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?View attachment 2471149
Upo sawaWatanzania waongo sana. Kila mtu anawajua TISS ki.vyake.
Tanzania hii, huwezi msikia mtu anasema neno "sijui" ni ivo tu, kamwe. We uliza tu utajibiwa, utapewa uhakika na vitjibitisho vyote. Na kila mtu atakupa ki.vyake.
Sasa waliingizwa wapi mbona unajijibu na mwanzo unakataaHuyo siyo TISS, ni green guard hao. Enzi za mwendazake waliingizwa wengi sana. But ni vijana wa chama, japo nao walikuwa wanatisha watu ili waonekane ni usalama
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Wanahongwa na pia ni weupe kichwanihata chenji ya rada walishindwa kung'amua sikwambii utoroshwaji wa madini.kuna dhahabu ya tz ilikamatwa Kenya Kenyata akairudisha.mpaka najiuliza na wenyewe huwa wanahongeka ama wanapigwa chenga ya mwili!
Hii pisi Kali naskiaga japo Toka nimezaliwa nimemwona mmoja tuuu yule wa mama Janet emb angalia wa mama Samia karibia wote tom boys sura za kazi.Karibu wote ni kichwani weupe, ajira karibu zote ni family & friends related na ukiwa pisi kali. Na wengi walevi tu. Tz tumelogwa the country has no competence kabisa. Wanapelekwa course wanaludi wapo empty kabisa. Disappointing
Sababu ya uhuru sio jamboSasa na wewe ndo umechanganyikiwa, unalinganisha CIA na nini hicho bwashee
By the way, USA ni super power uhuru wake ni since 1776, bt kwenu hapa ni 1961, so kama kulinganisha anzia hapo
Hamna kitu labda wale wenye vyeo vya juu tu ila hawa wengine tunawatombeaga mpaka wake zao hawana maajabu yoyoteWatu wanaamini jamaa wana mawe saaaaana
Tupe story mkoa gani huoHamna kitu labda wale wenye vyeo vya juu tu ila hawa wengine tunawatombeaga mpaka wake zao hawana maajabu yoyote
Hawako overrated isipokuwa nyie ndiyo munawa-overrate kwa kufuatilia sana mambo yao; halafu baada ya hapo munaanza kuwasingizia wao kuwa wanaji-overrateUKuda tu kaka wala hakuna jipya, achana nao mzee bora tuongelee mfumuko wa bei.
Kiufupi hawana inshu wako overrated sana yaani
Sahihi, mwenye connection ya huko wakuuHawako overrated isipokuwa nyie ndiyo munawa-overrate kwa kufuatilia sana mambo yao; halafu baada ya hapo munaanza kuwasingizia wao kuwa wanaji-overrate
I wish I had one!Sahihi, mwenye connection ya huko wakuu
Skuiz connection ni hela yako tuSahihi, mwenye connection ya huko wakuu
Ni sahihi, Ila kumpata mtu sahihi wa kumpa hiyo hela na ukafanikiwa ni tatizoSkuiz connection ni hela yako tu