Mm mpaka dakika hii mzee wamgu sijaend kumkagua tu kwa wakubwa mana kwa akili yake ilivyo yule anaweza akatokea kama kikwazo nikamtanguliza mbinguniHujawahi kusikia kaka au dada anamfanyia fitina mdogo wake waliozaliwa tumbo moja asifanikiwe?
Kwenye kupambania maisha na maendeleo yako kwa ujumla usimuamini na kumwambia mipango yako mtu yeyote
Let's assume kutoboa is independent issue! Kutoboa sio kitu kinachoweza kutegemea mawazo ya mtu, mana kama ilivyo umaskini tu kuna watu wanakataa kuwa sio maskini lakin wanashea sifa zote za hali ya kimaisha na maskin wengineMkuu,sio vizuri kutaja majina ya watu.
Alafu Kila mtu huwa ana maana yake ya kufanikiwa kimaisha, ila ni vile tu tumezoea kusema fulani katoboa.
Kuna mtu akiwa dollar millionaire anaona tayari kashatoboa na tena anaweza hata akafoka majirani kwa kiburi. Na kuna mwingine akipata hicho kiasi cha fedha anaona mambo bado sana.
Wewe ni symbolic interpetivist.. unaamin kuwa "no universal truth", umaskin ni objective defined. Ukaimua kuamini unachoamini huzuiwi lakin huwez kuondoa ukweli uliopoMimi pia huwa siamini kama kuna exact meaning ya mtu kuwa maskini.
Fafanua mkuuTusisahau kuweka BUFFER ZONE maana maisha ya kutafuta riziki ni vita ya kwanza halafu ya Russia 🇷🇺 na Ukraine 🇺🇦 ndio inafuatia.Bila ya kuweka ukanda wa kujikinga dhidi ya maadui utashambuliwa sana na kila siku unaweza kuwa unaanza upya.
Newton 3rd lawTusisahau kuweka BUFFER ZONE maana maisha ya kutafuta riziki ni vita ya kwanza halafu ya Russia 🇷🇺 na Ukraine 🇺🇦 ndio inafuatia.Bila ya kuweka ukanda wa kujikinga dhidi ya maadui utashambuliwa sana na kila siku unaweza kuwa unaanza upya.
In this materialistic world? Una elim gani mkuu mbona mawazo haya hata form four tu hawez kuwa nayo. Umaskini haupo je utajiri upo au hakuna?Mimi naamini duniani hakuna tajiri wala maskini. Hayo maneno ni watu tu wameyajenga kwenye vichwa vyao.
Take note, kwa dunia ya sasa umaskini unaangaliwa kwemye material world, yani kuna standard ya maisha ya kuishi mwanadam kutokana na mahitaji, sustainability na stability. Umaskini unatokea less than normal standard ambapo wanaotokea chiniya standard wanaishi misery life. Wanapitia ugum sana kupat basic needs, kufikia baadhi ya haki zao wenyewe na madhara mengineNipe definition yako
Umaskini unaendana na vulnerability, maskini sifa zao zinafanana tu, wengi utawakuta vijijin, urban slums na shanty town na sub urban. Wengi wanafanya kazi au shughuli zao sana katika informal sectors, wengine ni toilers katika viwanda na magodauni ya wahindi. Maskini wanakula kwa tabu sana, wanahangaika kupata hela za kula, hawaungani wala kusapotiana na rate ya imani ya uchawi miongoni mwao iko juu sana. Tajiri anatokea in vise versa..Pia hakuna maana halisi ya mtu kuwa tajiri
Acha kufanya rationalization mkuu kubali kuwa wewe ni masikini upambaneMtu maskini maana yake ni mtu ambaye hana Mali kabisa, yaani networth yake ni 0 TZS.
Sasa mtu Kama huyu yupo kweli ?
Umasiki upo wazi unaoneka haujifichi, hata ukishindwa kuelezeaMkuu, poverty ni complex issue. Huwezi kuielezea kwa sentensi zilizonyooka na mtu aka kuelewa. Ndiyo mana hata WHO wame andika hapo.
Wewe mwenyewe una yumba balaa mpaka unasema umaskini upo na layers.
Kitu kuwa na maana halisi maana yake unaweza ukamueleza mtu yeyote kwa mara moja na kukuelewa kwa urahisi.
Hayo mambo uliyo yaonyesha hapo nimeyasoma sana shuleni.
Hayo maelezo yako hata ukitumwa ukawafundishe wazee ambao hawajui kusoma na kuandika, hawawezi kuelewa hata ukiongea kwa kiswahili.
Ndio nimekueleza maana ya umasikini kwa mfano, kwa kuwa umekuwa ngumu kuelewaMimi sijaoa mkuu