Maisha yapo hivo wanaanzia kwenye mifukoUnajua ngara mpaka leo najiuliza chanzo cha wauza mifuko kariakoo kuwa wengi kuliko wateja ni nn
Yaani kariakoo wauza mifuko ni wengi kuliko wateja sikuwa na fahamu hiloUnajua ngara mpaka leo najiuliza chanzo cha wauza mifuko kariakoo kuwa wengi kuliko wateja ni nn
Kupambana hakuepukiki, ila kadiri miaka inavyosonga naona hali tight sana. Mpaka leo sijajua tatizo hasa linaanzia wapi ni population au n nn mbona fursa imekua kitendawili.Maisha yapo hivo wanaanzia kwenye mifuko
Wanakomaa, wanajifunza, wanakuja kubadilisha maisha Yao
Kikubwa kupambana
jaribuHali mbaya, mzee kama kuna haja ya kuwa na mfumo wa kuwapa mitaji. Jamiiforum kibubu
Kivipi mkuu mbona kauli yako tataTusisahau kuweka BUFFER ZONE maana maisha ya kutafuta riziki ni vita ya kwanza halafu ya Russia 🇷🇺 na Ukraine 🇺🇦 ndio inafuatia.Bila ya kuweka ukanda wa kujikinga dhidi ya maadui utashambuliwa sana na kila siku unaweza kuwa unaanza upya.
Hiyo hali ipo nchi nyingi AfricaKupambana hakuepukiki, ila kadiri miaka inavyosonga naona hali tight sana. Mpaka leo sijajua tatizo hasa linaanzia wapi ni population au n nn mbona fursa imekua kitendawili.
Hujawahi kusikia kaka au dada anamfanyia fitina mdogo wake waliozaliwa tumbo moja asifanikiwe?Kivipi mkuu mbona kauli yako tata
That's can not be tentative answer. Leo hii tungekuwa na sababu za msingi kujadili pengine mjadala huu ungetufaa mbeleni. Afya hii haiwez kuwepo sababu watu wanashinda na njaa na kufanya kazi ngum pamoja na njaa waliyonayo.Hiyo hali ipo nchi nyingi Africa
Tunaamini katika kusota ndo ufanikiwe
Kikubwa afya ipo