Usipoteze Muda

Usipoteze muda na haya mambo yanayohusiana na dini. Ingawa hizi dini zinaeleza baadhi ya mafundisho ya kweli, hawa jamaa ni wafanyabiashara kama watu wengine tu!

Mwanzo 1: 26
" na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu"

Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani kuendesha shughuli zao kwa. kutumia nakala za biogenetic zao. Adamu ni mtoto wa kutengenezwa maabara, Eve was cloned fromAdam's stem cells. Jozi hizo waliipanga makusudi ili waijaze ulimwengu kwa kupitia reproduction.
Yaani hata hiyo itikadi yako ni dini pia.

Wewe ni dhehebu pia tunasubiri ujipachikr jina tu.

Kwanini mnatumia nguvu sana kututoa katika dini wakuu.
 
Chanzo kilichomleta mwanadamu duniani,hakuna anayejua,haya mambo ya adam na hawa ni sawa na kuambiwa binadamu zamani alikuwa sokwe;kwa majaribio,unaweza kujiuliza swali funza wanajitengenezaje katika kitu kilichooza?Jibu litakalopatikana linawezekana likawa na uhusiano au lisiwe na uhusiano wa kuwepo kwa mwanadamu.
 
Yaani hata hiyo itikadi yako ni dini pia.

Wewe ni dhehebu pia tunasubiri ujipachikr jina tu.

Kwanini mnatumia nguvu sana kututoa katika dini wakuu.

Mkuu mimi siamini katika dini yoyote, hata hivi vitabu vinavyoitwa vitakatifu hakuna iliyosema muwe wakristo au waislam.

Mimi sina lengo la kukutoa kwenye imani yako mkuu. Hii nimeandika tu usiamini ninayoandika fanya utafiti wako
 
Dah mkuu.unazungumza kwa niaba ya vitabu au unazungumza kwa maono yako tu mkuu.

Uislamu umeweka wazi kabisa ya kwamba

إن الدين عند الله الإسلام وما اختلف الذين أوتوا الكتاب إلا من بعد ما جاءهم العلم بغيا بينهم ومن يكفر بآيات الله فإن الله سريع الحساب

[ AL I'MRAN - 19 ]
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

Alafu wakaambiwa tena ya kuwa

ومن يبتغ غير الإسلام دينا فلن يقبل منه وهو في الآخرة من الخاسرين

[ AL I'MRAN - 85 ]
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

Yaani anayetaka dini isiyokuwa ya kiislamu.kwa maana zipo dini nyingine zisizokuwa za kiislamu,basi huyo haitokubaliwa kwake dini hiyo.

Sasa hata wewe ukisema huna dini sio kweli kabisa ,wewe unadini sema dini yako sio uislamu wala ukristo.

Wewe ni muumini mzuri wa dini yako ambayo unaiamini mkuu.
Mkuu mimi siamini katika dini yoyote, hata hivi vitabu vinavyoitwa vitakatifu hakuna iliyosema muwe wakristo au waislam.

Mimi sina lengo la kukutoa kwenye imani yako mkuu. Hii nimeandika tu usiamini ninayoandika fanya utafiti wako
 
Chanzo kilichomleta mwanadamu duniani,hakuna anayejua,haya mambo ya adam na hawa ni sawa na kuambiwa binadamu zamani alikuwa sokwe;kwa majaribio,unaweza kujiuliza swali funza wanajitengenezaje katika kitu kilichooza?Jibu litakalopatikana linawezekana likawa na uhusiano au lisiwe na uhusiano wa kuwepo kwa mwanadamu.
Yes ... uko sahihi kabisa ... hizo ni conspiracy theories

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ... uko sahihi kabisa ... hizo ni conspiracy theories

Sent using Jamii Forums mobile app
Na watu wanatakiwa waelewe dini zilianzishwa na mwanadamu,zilikuja baada ya binadamu kuwepo,na hivyo vitabu vimeandikwa na mwanadamu ili kuishi kiustaarabu katika dunia hii,binadamu mwenyewe ni vigumu kujijua chanzo chake,kama ilivyo ngumu kwa funza aliyetoka kwenye maozo kujua chanzo chake
 
Sio kwamba unapinga tu masuala ya dini bali nawe unaeleza mambo ambayo yanahitaji ushahidi pia.
 
Back
Top Bottom