Usipoteze Muda

Hahahahaha au anachotumia kimemkataa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kimemkataa...

Yaani hiyo avatar yako uuwwii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ilimfaa mleta huu uzi๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Usipoteze muda na haya mambo yanayohusiana na dini. Ingawa hizi dini zinaeleza baadhi ya mafundisho ya kweli, hawa jamaa ni wafanyabiashara kama watu wengine tu!

Mwanzo 1: 26
" na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu"

Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani kuendesha shughuli zao kwa. kutumia nakala za biogenetic zao. Adamu ni mtoto wa kutengenezwa maabara, Eve was cloned fromAdam's stem cells. Jozi hizo waliipanga makusudi ili waijaze ulimwengu kwa kupitia reproduction.
Okay Adam ni mtoto wa kutengenezwa maabara..Yap sikupingi hebu "tetea hoja yako"..
Na hao waliomtengeneza "ADAM" wametengenezwa na nani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani shogaangu sio kwa vumbi hilo la congo usoni chaaa....huyo mbarikiwa aje tuu ila asin'tishe mm usiku huu ,.nsije ota buree..
eti vumbi la congo aki shoo umejua kunifurahisha usiku huu woiii
IMG_20190117_231928.jpeg
 
Usipoteze muda na haya mambo yanayohusiana na dini. Ingawa hizi dini zinaeleza baadhi ya mafundisho ya kweli, hawa jamaa ni wafanyabiashara kama watu wengine tu!

Mwanzo 1: 26
" na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu"

Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani kuendesha shughuli zao kwa. kutumia nakala za biogenetic zao. Adamu ni mtoto wa kutengenezwa maabara, Eve was cloned fromAdam's stem cells. Jozi hizo waliipanga makusudi ili waijaze ulimwengu kwa kupitia reproduction.
Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani walitoka Wapi?!
 
Okay Adam ni mtoto wa kutengenezwa maabara..Yap sikupingi hebu "tetea hoja yako"..
Na hao waliomtengeneza "ADAM" wametengenezwa na nani???

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo kwenye kutetea hoja umeniacha mkuu, nitetetee kwanini?

Hao waliomtengeneza adam ni watoto wa malkia Orion, wanaishi huko kwenye galaxy zingine lazima uipite solo ndio ufike huko
 
Back
Top Bottom