Kwani watu huwa wanakula nini??matofali au??Kula nini?
Kula vyote,.wewe umevikula??Kuna kula chakula na kula mwanake ninavyojua mimi, sa we uliuliza ipi?
Upuuzi mtupu,.Sijaelewa hata
Haya sasa kavute bangi zako vzr,.Ndiyo nimekula
Nahisi hata yeye mwenyewe haelewi alichoandikaUpuuzi mtupu,.
Yeah, ni kweli. ANU na ENK ndo walishuka duniani na kuamua kutegeneza wanadam ili wasaidie katika shughuli zao kv. Kuchimba dhahabu. Ni stori ndefu saaana .....Usipoteze muda na haya mambo yanayohusiana na dini. Ingawa hizi dini zinaeleza baadhi ya mafundisho ya kweli, hawa jamaa ni wafanyabiashara kama watu wengine tu!
Mwanzo 1: 26
" na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu"
Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani kuendesha shughuli zao kwa. kutumia nakala za biogenetic zao. Adamu ni mtoto wa kutengenezwa maabara, Eve was cloned fromAdam's stem cells. Jozi hizo waliipanga makusudi ili waijaze ulimwengu kwa kupitia reproduction.
Ndio maana nikamuuliza kama amekula,.maana ukiwa na njaa unaweza kuropoka chochote,.Nahisi hata yeye mwenyewe haelewi alichoandika
Hahahahaha au anachotumia kimemkataaNdio maana nikamuuliza kama amekula,.maana ukiwa na njaa unaweza kuropoka chochote,.