Usipoteze Muda

barikiwa

Senior Member
Dec 4, 2018
145
263
Usipoteze muda na haya mambo yanayohusiana na dini. Ingawa hizi dini zinaeleza baadhi ya mafundisho ya kweli, hawa jamaa ni wafanyabiashara kama watu wengine tu!

Mwanzo 1: 26
" na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu"

Inaonyesha jamii ya watu walioendelea kisayansi wakaamua kuja duniani kuendesha shughuli zao kwa. kutumia nakala za biogenetic zao. Adamu ni mtoto wa kutengenezwa maabara, Eve was cloned fromAdam's stem cells. Jozi hizo waliipanga makusudi ili waijaze ulimwengu kwa kupitia reproduction.
 
Yeah, ni kweli. ANU na ENK ndo walishuka duniani na kuamua kutegeneza wanadam ili wasaidie katika shughuli zao kv. Kuchimba dhahabu. Ni stori ndefu saaana .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh
FB_IMG_1550555228604.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom