Tatizo sio F6 au F4.Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
Kwa sayansi bila A-level utalia lia sana, labda kama ulisoma additional mathematics kidooogo inaweza saidiaUkikua utaacha hiv ww unaenza degree umetoka form six na anaenza degree alietoka diploma na form 4 yake Nan walau ana idea ya hyo degree... Afu mwenzio unawezakuta baadhi ya masomo hasomi mwaka kwanza... Alishoma akiwa diploma..
Unazungumzia sayansi ipiKwa sayansi bila A-level utalia lia sana, labda kama ulisoma additional mathematics kidooogo inaweza saidia
Kuna vyuo kozi zingine watu wakitoka certificate wakiwa na distinction wanarushwa degree bila A level wanapata shida sio wote wanaijua hiyo diploma.Unazungumzia sayansi ipi
Maana technical colleges zote diploma anasoma advance mathematics
Wenzako wamesoma Engineering Science Oleve ambapo kuna topic za Form Four lakini kwa shule zingine wanazikuta Form Five. Kwa mfano topic ya Angular Motion na Projectile Motion tulizisoma Form Four Engineering Science. Baada ya hapo ni Technical College kama Mbeya, DIT na Arusha unakula zako FTC(Diploma kwa sasa)Acha kutisha watu topic gani ya form four inaingia kwa topic ya form six? Ukiwa na form six ni advantage kubwa sana hasa kwa walio soma phy/maths
Chuo gani kwa mfanoKuna vyuo kozi zingine watu wakitoka certificate wakiwa na distinction wanarushwa degree bila A level wanapata shida sio wote wanaijua hiyo diploma.
Kuna watu wametoka certificate mpk degree nawafahamu sitakutajia vyuo ila wapoChuo gani kwa mfano
Acha kudanganya watu wewe mimi nimesoma na watu wenye diploma walikua wanapata shida sana aliebahatika kumaliza ni 1 wengine walidisco 1st yr na 2nd yrSis kwenye shirika letu kuanzia CEO, wengi wa wakurugenzi, Managers, wakuu wa idara, Engineers wengi walitoka form IV technical schools, then chuo FTC/Diploma then University na hapa wengi vichwan ni bright tofauti na waliosoma form V&VI
Kwan diploma na A lvl zinatumika kama vigezo vya kuingilia chuoni.Acha kudanganya watu wewe mimi nimesoma na watu wenye diploma walikua wanapata shida sana aliebahatika kumaliza ni 1 wengine walidisco 1st yr na 2nd yr
Ni kweli kipusi, shule ya University kama hujapitia A.Levelb. vvv utatumia msuri sana.
V=mijadala ya BRN ukimpa mtihani akeshe nao kesho ataingia na majibu kwenye paja hovyooo
Kama hujui bora ufiche ujinga wako unajua utaratibu wa kuingia chuo??Kwan diploma na A lvl zinatumika kama vigezo vya kuingilia chuoni.
Ivo vingine ni mtu mwny
Sijui.Kama hujui bora ufiche ujinga wako unajua utaratibu wa kuingia chuo??