Usipomsikia Magufuli na hutawasikia Mawaziri pia

Abel 2015

Senior Member
Sep 5, 2015
112
55
Miezi Michache Tumekua Tukishuhudia Ziara Za Kushtukiza Kwa Magufuli Alipokua Akifanya Hayo Na Mawaziri Wake Wamekua Wakimuiga Hivyo Hivyo, Hivi Karibuni Magufuli Amekaa Kimya Na Mawaziri Wake Wamekaa Kimya. Nimepata Picha Yakua Hawa Mawaziri Wa Mheshimiwa Wanamuiga Hawana Utashi Wa Uchapakazi Hadi Wasukumwe.. Tuendelee Kuziona Comedy Nying Za Hawa Mawaziri
 
Mawaziri wamejazwa woga hawana fikra binafsi zilizo huru, wanasubiri maelekezo kutoka magogoni, ni hatari sana kwa ustawi wa taifa.
 
Miezi Michache Tumekua Tukishuhudia Ziara Za Kushtukiza Kwa Magufuli Alipokua Akifanya Hayo Na Mawaziri Wake Wamekua Wakimuiga Hivyo Hivyo, Hivi Karibuni Magufuli Amekaa Kimya Na Mawaziri Wake Wamekaa Kimya.

Nimepata Picha Yakua Hawa Mawaziri Wa Mheshimiwa Wanamuiga Hawana Utashi Wa Uchapakazi Hadi Wasukumwe.. Tuendelee Kuziona Comedy Nying Za Hawa Mawaziri
kuwa upinzani ni shida, kila kitu unawaza negative.

Magufuli ondoa ruzuku ktk vyama vikajenge barabara mikoani kuliko kutafunwa wajanja wa mjini kwa kulipana posho zisizo na kichwa wala miguu ambazo zinawafanya wapingepinge kila jambo ili waendelee kuzipata.
 
Watu wako bize wanashughulika kupayukapayuka kumekwisha.mahakama ya mafisango inajengwa.
 
ccm ndiyo wanatafuna Ruzuku nyingi Kinana akikusikia atakung'o pembe Kama Tembo .
 
Watu wako bize wanashughulika kupayukapayuka kumekwisha.mahakama ya mafisango inajengwa.
Hiyo Mahakama ianze na kesi ya mabehewa Feki ya mwakyembe kisha iendeelee na wale walionunua kivuko kibovu cha mwaka 1978 Kwa bilion 8 na zile bilion 252 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi Hewa, zipo kesi nyingi za akina Dau wa NSSF juu ya Ufujaji Ujenzi wa daraja Kigamboni na majengo yote ya NSSF, IPTL na Escrow , mpaka zile bilion 1.7 za ccm alizokwapua January Makamba peke yake akasingizia kazitumia kuwadhoofisha ukawa na Lowasa binafsi, yapo Madili mengi sana lakini hiyo Mahakama ikianza na hayo ya akina Lugumi na wenzao italeta maana kinyume na hapo itakuwa ni Mahakama ya kidikteta tu.
 
PM nae kasi yake imekwisha kabisa!!
Yupo kimya maana kule Ofisini kwake kashituka kuna Bomu la sukari wajanja tayari wametumia Fursa kupiga pesa Yaani uhaba wa sukari umeleta Richmond ya sukari pia sukari za magendo toka malawi, Kenya na Uganda zimewatajirisha wajanja Kwa mda mfupi, roho inamuuma sana ndiyo maana yupo Kiimya anatafakari Kwa kiina .
 
Hiyo Mahakama ianze na kesi ya mabehewa Feki ya mwakyembe kisha iendeelee na wale walionunua kivuko kibovu cha mwaka 1978 Kwa bilion 8 na zile bilion 252 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi Hewa, zipo kesi nyingi za akina Dau wa NSSF juu ya Ufujaji Ujenzi wa daraja Kigamboni na majengo yote ya NSSF, IPTL na Escrow , mpaka zile bilion 1.7 za ccm alizokwapua January Makamba peke yake akasingizia kazitumia kuwadhoofisha ukawa na Lowasa binafsi, yapo Madili mengi sana lakini hiyo Mahakama ikianza na hayo ya akina Lugumi na wenzao italeta maana kinyume na hapo itakuwa ni Mahakama ya kidikteta tu.
Huko kugumu. Mtoto wa jambazi siyo jambazi ila rafikiye ndiye jambazi
 
Back
Top Bottom