Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,439
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha¡-Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke¡- mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi¡-¡-hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii¡- eeeh women power ndo hiiiiii,,,¡-¡- Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache¡-. Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ng¡¯oooo na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ng¡¯oooo , mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje¡-¡-¡-! Mwisho wa kunukuu, thankx Mangelita a.k.a mama watatu.

hata sisi tumejiongeza vilevile, wanaume wasasa mmezidi ubinafsi, ukijua mkeo anakamshahara yaani hata huulizi mtoto wameendaje shule, chakula mwez huu mke wangu umetumia sh ngapi? Kazi kubadili chanel na kuweka miguu kwenye meza na kufokea fokea kha!, alafu usiku unadai unyumba eehe! Hata aibu hamna. Mmhm! Badilikeni sasa.
Umri wako???
kweli umaskini sio wa hela tuu tulionao watanzania, hata fikra.pole sana mtoa mada.ngoja ukue kwanza,sio umri.
Hata sisi tumejiongeza vilevile, wanaume wasasa mmezidi ubinafsi, ukijua mkeo anakamshahara yaani hata huulizi mtoto wameendaje shule, chakula mwez huu mke wangu umetumia sh ngapi? kazi kubadili chanel na kuweka miguu kwenye meza na kufokea fokea kha!, alafu usiku unadai unyumba eehe! hata aibu hamna. mmhm! badilikeni sasa.
AKILI, KIASI NA UCHAJI ndo hututofautisha na wanyama wengine. UTU wako uko wap? Usnambie unayataman maisha ya kuku. Udandie utie mimba usepe, matunzo atajua mama watoto. haaaahaaa ur ryl smthn else.Mtoa mada ameamua kuwa kahaba full stop..
Mungu akukosea alipoumba watu na jinsia zao sema tumekengeuka tu.
Wanyama ambao wanaishi kwa silika KE ndio mtafutaji...
Anza na Kuku jogoo akishampanda mtetea ajui watoto wanakula nini...
Wanyama jamii ya paka...majike ndio wawindaji dume ye kula na kuzalisha tu..
Ukiangalia wanyama wote wapo ivo tokea bustani ya EDEN...
Mwanamke ndio halialibu kila kitu pale alipo mpa penzi nyoka kutokana na tamaa ....
Sasa pale ndio tukaanza kutoa huduma kama adhabu lakini kuchunga familia sio responsible ya ME tokea EDEN....
Totally rubbish of the highest order combined with insanity. Absolutely.