Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

1.kuwasha simu yako ya mchina ktk basi kwa sauti kubwa,, ei unasikiliza mziki kupunguza safari.
2. kuvua sigara hadarani
3. kujisifia una mkwanja kijiweni kumbe maskini u.
4. Kushinda masasi kuishi tandika.
5. Kuwa fataki
 
1.kuwasha simu yako ya mchina ktk basi kwa sauti kubwa,, ei unasikiliza mziki kupunguza safari.
2. kuvua sigara hadarani
3. kujisifia una mkwanja kijiweni kumbe maskini u.
4. Kushinda masasi kuishi tandika.
5. Kuwa fataki
1.Kujifanya unajua kuandika haraka kumbe unaharibu,
2.Kamaumeona hapo kwenye red
3.Kubali kukosolewa usiwe mkali
4.Kucheka uliyoyafanya unaruhusiwa.!!
 
Kupiga chabo...
Kufika kileleni mapema...
Kupiga mizinga wakati unakipato...
 
Kimuigiza Mrema amechoka kwa ugonjwa kumbe Mungu amekuandali lako kila siku upo Muhimbili ICU, Sijui na wewe wakuigize?

Umeuramba Vizuri Lakini Umebeba Dial ya 1990 duh.
 
1.Kutembea huku unaning'iniza mbele funguo za Gari.
2.Kuchomeka mafunguo ya ofisi kwenye suruali kama bwana jela
3.Kuongea na mtu huku umemsogelea usoni karibu huku ukijua kuwa mdomo wako unanuka.


Hahahahahhahahahaaa................duuh, hi kali kwa kweli
 
Kubeba bahasha ya kaki iliyochafuka kwa jasho na daily yenye nembo ya serikali!
Kupenda miwani ya macho wakati huna matatizo ya macho hasa wanawake!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom