Nikiku Second Bi Dada huyu bwana anaweza kufanya violence kwa huyu dream baby wake kasha ajipeleke polisi kwenda kujistaki sasa wakati wa kuchukuliwa maelezo binti tajwa atahojiwa na nina imani ataacha namba zake kwenye jalada la kesi ilikurahisisha mawasiliano! Baada ya keshi aombe kulipa fine baada ya hapo aombe nakala ya jalada la kesi ambapo naamini namba za huyu mrembo zitakuwemo!