Usipitwee.!

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Wapo humu {jf} walio na haka katatizo.

Fuatana nami,
Yupo mdada (bright,pretty & very kind) huwa nakutana nae kama mara 3 au 4 kwa wiki hivi katika michakato ya kimaisha.

Napenda awe rafiki wangu sana lakini nashindwa hata kumuomba namba ya simu. Nifanye lipi awe rafiki wangu?
 
Heading na content tofauti. Sahihisha kwanza
 
Ukikutana naye katika hiyo michakato yenu ya maisha umwambie haya maneno, "dada hua nakuonaga tu napenda uwe rafiki yangu lakini nashindwa kukuomba namba ya simu"
Atachekaaa na namba utapata trust me.
 

acha ububu shauli yako utaishia kuona tu.
 
Acha izo mambo mkuu, mfate chukua no ikiwezekana mchane hapo hapo coz karne hii ukisema uwe domo zege wenzako wanajilia kiulaini mno
 

tarehe uliyojiunga inanifanya nisikuamini sana..........
anyway......cha kufanya we mrukie mng'ate.......atakupeleka polisi.........ninavyowajua polisi watawaambia mrudi mkasuluhishe nyumbani.......utakuwa hujampata bado..........?.....
 
Ukikutana naye katika hiyo michakato yenu ya maisha umwambie haya maneno, "dada hua nakuonaga tu napenda uwe rafiki yangu lakini nashindwa kukuomba namba ya simu"
Atachekaaa na namba utapata trust me.

akikataa
 
Acha izo mambo mkuu, mfate chukua no ikiwezekana mchane hapo hapo coz karne hii ukisema uwe domo zege wenzako wanajilia kiulaini mno

Natafuta gia ya kuingilia hapatikani aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…