Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
hahahahhaha nimependa id yako nabii mweusi
Last edited by a moderator:
upene usipende utalinywa tu,lichukue kama lilivyo
Teh teh ukiona hivyo wa kuwaoa wamekosekanaaaaaa
hehe nahisi ulipata F ya kiswahili hebu soma tena uone mpangilio imara
kisu kwenye mfupa ......la maaduiLOOOOOOOO AKU BABU WEWE NGOJA LEO NISEME NENO HAAAA?
WASICHANA HUMU NDANI KUJIFANYA MNAPRETEND MAISHA YA KIZUNGU KAMA KUNYA HAMYI MARA OOOOOO cjui kikaenda kikarudi pambafu zaenu.
Mara ooo sitaki kuolewa mara ooomwanaume hakubabaishi muongo mkubwa wakati unatamani kuolewa,mapenzi yanakuliza kila kukicha ,unaingia humu ndani ooo msimamo wangu msimamo wangu haha hamna lolote ninyi mmevurugwa wanaume kila kukicha ni kuwatumia unatamai akwambie tuu ndoa ila mnashindwa mkiona upepo haujisom ooo sibabaishwi.
Hahaha mmm mwenyewe nilipo hapa natamai nana anioe japo umrri wang haujanitupa haa mara ooo usiolewe kisa furani kaolewa ,usiolewe kisa umri unaenda.
Usiolewe visa kibao looo hamna lolote mnatamani ndoa mnashindwa ,kwakwakwa msubiri sasa mtasugua magaga ,sura zitawaporomoka,na wa kuwaoa mda mnaotaka mkakosa.
Loo utaishia kuwa sugar mamy na ikumbukwe dushelele ni tamu sana looo,hii ni kwa wanawake/wasichana wenzangu,hata mtukane vipi habari ndo hiyo
hahahahhaha nimependa id yako nabii mweusi
nimesoma mwanzo hadi mwisho...nimegundua ujumbe huu umemlenga mtu mmoja tu...
sa sijui ni nini kinaendelea.....haya haujatufikia ila umemfikia
------ yakoooo , hivi hujui ukipost jf post yoyote ile na ukisoma kwa mda huo unakuta bado jf haijaarange fresh post kengele zako muda wa kuedit snawe mbulumbundu umekuja ku-edit baadae....orijino uliyoandika utadhani umefumaniwa vichakani nilishindwa kusoma....sasa hapo sijui nani ndo ana f!!!
bora yangu mie cjui ww ambae unatamani harafu unagugumia na moyo kwakwakwahuyu ni muhanga ana uchu wa ndoa huhuhuuuu kaniprint
ni wewenimesoma mwanzo hadi mwisho...nimegundua ujumbe huu umemlenga mtu mmoja tu...
Sa sijui ni nini kinaendelea.....haya haujatufikia ila umemfikia
ni wewe
kwa kwa kwa vaislay amenuna looo!!!!!best huo ni ujumbe ila ulizani ni wa mlengwa !akuu ndo maana ni mejibu ni ww labda but hata ww unakuhu.........na ndomaana umekuwa nabii mweusi...mwanga kwako ni kitendawili...