Usipitwe aisee soma hapa

Usipitwe aisee soma hapa

Lilipost Li dada 1 hiv likawa linaponda eti. Mdogowake kaolewa Ye hawezi kuolewa kisa ma ant wanamshinikiza likatoa misababu kibao najua jiwe limetupwa kwake Afadhari mwenyewe nililichana likanifuata pm ,wadada acheni uzungu jitu lipo tandale linajifanya la UK shwain uzungu waachie wazungu we mjaluo dumisha mila zako shwain.

Ebwanaaee kumbe huku kuna vituko vya uswazi nimechekaje
 
------ yakoooo , hivi hujui ukipost jf post yoyote ile na ukisoma kwa mda huo unakuta bado jf haijaarange fresh post kengele zako muda wa kuedit sna

We f.ala mi huwa sibishani na maka.haba sawa!!!!!! Umeandika uharo halafu unataka mods wa-edit...!!!!

Nimekuambia kajifunze kuandika....Ukija siku ingine na post upangilie vizuri.....Pu.mbavu wa mwisho kabisa..
 
kwa kwa kwa vaislay amenuna looo!!!!!best huo ni ujumbe ila ulizani ni wa mlengwa !akuu ndo maana ni mejibu ni ww labda but hata ww unakuhu.........

kuwa na amani mpendwa wangu...unadhani nina sababu ya kununa katika hili? HAKUNA

ila mi haunihuu...unamuhuu aliyekataa kuolewa...😉😉
 
Lilipost Li dada 1 hiv likawa linaponda eti. Mdogowake kaolewa Ye hawezi kuolewa kisa ma ant wanamshinikiza likatoa misababu kibao najua jiwe limetupwa kwake Afadhari mwenyewe nililichana likanifuata pm ,wadada acheni uzungu jitu lipo tandale linajifanya la UK shwain uzungu waachie wazungu we mjaluo dumisha mila zako shwain.

kwani tandale hakuna wazungu jamani
 
we f.ala mi huwa sibishani na maka.haba sawa!!!!!! Umeandika uharo halafu unataka mods wa-edit...!!!!

Nimekuambia kajifunze kuandika....ukija siku ingine na post upangilie vizuri.....pu.mbavu wa mwisho kabisa..
hahahaha pasuka naona roho yako inapururuka mwenyewe kwa kwa kwa
 
Back
Top Bottom