Usipambane na wakubwa, watakuumiza!!!

Usipambane na wakubwa, watakuumiza!!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,119

Image.aspx


Ndovu katoto akimwambia mzee mbogo, " mnoko wewe , hebu potea anga zangu!!"
Mbogo anamuuliza "unasemaje?"
 
Image.aspx


Ndovu mtoto akajibu, " hunitishi wewe mzee, nishapigana sana na watu kama ninyi"
 
Ngoja niendelee kusubiri kitakachojiri hapa ....
 













Image.aspx



09498271-5563-4199-a8fb-505bf6b3fd1d

Fearless elephant calf takes on buffalo
bull

The young elephant spotted the newcomer and
decided to scare the animal away – but with unexpected results. Conrad Cramer, a
wildlife guide who lives in South Africa, spotted the moment the calf was taught
a tough lesson.



Barcroft Media/Conrad
Cramer





Image.aspx

Duuh, hii mbaya sana. Huyo mbogo akili zake mbaya sana, hana hata utani! Lol!
 
Mzee mbogo sasa antamba,"Pori tumeliona kabla hujazaliwa, halafu unakuja na wembe wakati wenzio wenye magobore na shoka wameshindwa"


"Haya kamhadithie mama yako, mimi ndo mzee mbogo kipande cha pori hili, niko long time hapa!!" mbogo anamalizia.

Dogo ndovu alitokomea kusikojulikana.

Na binadamu tuko hivo hivo kama hawa wanyama!!!!!




Image.aspx
 
Ni afadhali kujaribu kuliko kutojaribu kabisa...siku nyingine hata ndovu mkubwa atamuogopa kidogo mdogo.
 
kweli alidhamilia kukifunza adabu, akitoka hapo akili itakaa sawa na kuheshimu wakubwa.
 
Back
Top Bottom