Usione naelea. .... Natunzwa. .....

hongera mamaa huyo shemeji hana ndugu au rafiki yake nijiweke?

Hahahahaaa usinifurahishe wapo bahati mbaya mie ukuwadi siwezi. Halafu kuanzia dadii wangu hadi marafiki na ndugu zake wanakuwaga na wanawake watu wazima sijawahi waona na waschana sijui kwanini.....
Wee jiongeze mara moja moja sehemu za maana kwa mfuko wako huko utakutana na wa aina ya dadii wangu tuu.
 
Tupiamo picha tukuone,tunaweza kuwekeza zaidi ya uyo ulionae.

Hahahahaaa uwekezaji zaidi ya anaonifanyia dadii hata siutaki. ...
Picha yangu ni hii avatar yangu.... huyo ndo Kasie.
 
Ayayayayaaaaa shkamoo Kasie, nimekutamaniaje?[emoji39][emoji39][emoji39]
Ponda raha bibie,hakuna asiyependa hayo basi tu mifuko hairuhusu.

Marahaba mdogo wangu hujamboo?

Karibuu walau nawe usuuze roho kwa macho... ila usitamani sana inaweza leta shida heheheh

Ukijichanga na kuweka malengo siku moja nawe unajitoa sehemu kama hiyo kwa afya ya roho na macho hehehe
 
Hilo boti la dadii wako wa huko linafanana na lile la wasanii wanashoot nalo video.

Kumbe unalionaga kwenye video tuu na kulifananisha polee .... kiwandani yanatengenezwa mengi tuu na wanunuzi pia ni wengi kwa matumizi yao mbali mbali. Hili la dadii wangu ni kwa ajili ya msimu wa likizo na siku za mapumziko tuu....
Halafu laweza fanana nje ila huko ndani kusifanane hata...

Kasie.
 
Kasinde

kunauwekano wa wewe kuish miak 90+

Sio wewe tuu, kuna wengi tuu washaniambia hivo....
Nami naitikia Amen!!

Nnavopenda mambo mazuri Mungu na anipe uhai na afya tele.
 
Kama mambo yenyewe ndo hayo unajua hata kupika mkuu?

Sio tu kupika, nakarangiza balaa, nikikutengea msosi mezani lazima umeze mate kabla ya kula, ujing'ate wakati wa kula na ujilambe baada ya kumaliza kula......

Tena mapishi yote kuanzia asili hadi mapishi ya kutoka magharibi.
 
Sio tu kupika, nakarangiza balaa, nikikutengea msosi mezani lazima umeze mate kabla ya kula, ujing'ate wakati wa kula na ujilambe baada ya kumaliza kula......

Tena mapishi yote kuanzia asili hadi mapishi ya kutoka magharibi.
Mimi nimependa hapo kwenye mambo ya asali hapo,nionjeshe please!
 
Mimi nimependa hapo kwenye mambo ya asali hapo,nionjeshe please!

Hahahahaaa basi hapa umefika.... utapata ugali wa dona kuku wa kienyeji aliyepikwa mchuzi na mboga za majani.

Ukikaa sawa unapata sato aliyeungwa na nazi au karanga na wali au ugali dona, mboga za majani muhimu.

Ukiwa hujisikii kula ntakupigia ugali wa dona dagaa wa Zanzibar nawa rosti kama makange na matembele.

Asubuhi utapata uji wa ulezi ulioungwa na maziwa au nazi pamoja na karanga.

Viazi vitamu au mihogo ya kuchemsha na chai ya maziwa.

Mayai ya kienyeji ya kuchemsha na maziwa na mahindi ya kuchemsha.
Ukitaka mlo maalum au spesheli pia utaupata. ... Kasie keshamaliza shule ila kilasiku anasoma na kujifunza.

Kasie.
 
MJESHI UMEMTOSA UMEENDA KULIWA NA MWINGINE

Ya Kasie huwezi kuyaelewa........

Nikielezea kila kitu ntakuwa namwaga mchele na mtama penye donyoa wengi. .....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie bhana!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie bhana!!

Umekubali eeeh..... kama nakuona unavomeza mate..... karibuu shida yake nikikutengea msosi mezani siku moja tuu utataka uwe unakula kwa bili heheheheh wakati Kasie kupika ni hadi upako umshukie....
Ila ujuzi hauishi au kizungu wanasema hauna expire date....

Bado kama wewe ni wa pwani ntakundalia chapati za kusukuma au za kukanda na rosti la maharage au njegere au maini. ...
 
Hayo madude yatakuwa yanaitwa matunda Papuchi.
 


Tsunami ikija, nyie na 'dad' wenu ndio wahanga wa mwanzo....
 

Why Kasie..why?

I told you not to tell them.

You are grounded till Tuesday.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…