D
Aisee mtoto Nyigu mama kontena.Mzazi anapokutuma dukani akakusubiri weee upeleke alichokutuma..baada ya kuona unakawia anaamua kukufuata
Marapaaap!! Anakukuta umebambiwa namna hiyo alafu hakuna ulichonunua!!
Kitakachofuata..[emoji23][emoji23][emoji23] utajuta kuzaliwa
UsikumwemaView attachment 789542
Hapana Mkuu hata mama naye ni Nyigu sema Tu bodi limekuwa kuuu kuuu na Difu ni la Trekita............!!!!Aisee mtoto Nyigu mama kontena.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimewah tu Siti ,nasubiri kuona wabambiaji na wabambiwaji