Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Kwako ThaGreatman . Ndugu yangu hapo unaishi na nyoka. Ni suala la muda tu atakung'ata . Hebu jaribu kujiuliza, kama ameweza kujitendea hivyo yeye mwenyewe siku akili yake itakapomtuma kukudhuru wewe atakufanyaje? Nikipata muda ntakufundisha mbinu zakumfanya mwanamke akuchoke, akuchukie na kukuacha mwenyewe bila kukulaumu wala kujilaumu. Asante kwa leo.
 
Pombe yangu yote kichwani nahisi inakata,sijui kwa nini nimeingia JF usiku huu kwa hili bandiko!
 
Mkuu usingee hivyo. Hata mimi nilikuwa na mtazamo kama wako. Omba tu Mungu yasikukute. Unaweza ukawa kwenye mahusiano na demu mkali na ukajiaminisha huyu ndio haswa mke mtarajiwa. Ukiwa na huyohuyo mkali, tena anakupenda kwa moyo wake wote, akatokea tena demu mwingine mbichi na mkali zaidi ya huyo ulienae. Ukasema acha nitesti zali. Ukatest zali mtoto akakuelewa. Ukajipa moyo acha nipige tu na kusepa, ukapiga mara ya kwanza ukaona kama vile bado hujafaidi. Unakapiga tena, ukaona bado tu sijafaidi, tena na kiwivu kwa mbali kikaanza na kukuingia, ukawa unajihoji kwani nikipiga tu mpaka yeye atakapojitambua ndio nasepa kuna shida gani? Kwa nini niwaachie masela wengine wamfaidi mtoto mzuri ilihali bado hajashtuka kama mimi sio muoaji? Basi utaendelea kupiga, mara unaambia "babe sijaziona siku zangu" hapo sasa ndio akili itakukaa sawa.
 
Naomba radhi kwa picha hizi??View attachment 863293
Hahaa inachekesha na kusikitisha.

Drama kama series za telenovela au za kifilipino.
Acheni kuiga kila kitu. Yale maisha ya kwenye TV huku kwetu sio maisha halisi.

Ushauri:
Kama wewe ni muislam basi oa wake wawili. kama sivyo basi fanya mpango omba uhamisho achana kabisa na huyo mwanamke wa Tanga sababu ni hatari kama ulivyosema.
 
Nina mkasa wangu wa kweli unakaribia kufanana na wa kwako mkuu the great man
 
Ndio uzembe wenyewe naozungumzia..
 
Mkuu nitmie njia hz pm
 
Kuna m2 nimemchoka mkuu ameniganda sana nae ndo hao wa kujiua kama inawezekana ziwek hata sahv
Hahahaaa kweli umemchoka maana si kwa msisitizo huo. Kwa kuanzia tafuta vitu ambavyo yeye havipendi. Kisha ndio uwe unavifanya tena makusudi. Akikasirika unamuomba msamaha kisha kesho yake unarudia tena iwe zaidi ya jana.
 
Kuna m2 nimemchoka mkuu ameniganda sana nae ndo hao wa kujiua kama inawezekana ziwek hata sahv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemla halafu umemchoka[emoji15] [emoji15] ngoja ajiue akili ikukae sawa![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemla halafu umemchoka[emoji15] [emoji15] ngoja ajiue akili ikukae sawa![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata hatajiua tena itafikia wakati hata akimuona anasonya na kumpitia mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…