ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
-
- #281
Ahsante malaika,nitarudi kwa mke wangu!Omba uhamisho rudi kwa mke wako Malaya mkubwa wewe.
Wewe jikate kifanyio ili mkose wote!!Sijui ni hatua gani nichukue kujinusuru!!!View attachment 863302View attachment 863303
Duuh wewe ndo una roho mbaya kuliko kawaida!!!!Wewe jikate kifanyio ili mkose wote!!
Kweli kaka yanatukuta wote ushauli jaribu kukutana na wazee wenyehekima zao hata nje ya hapo hasahasa babu yako au wajomba zako.Wengi mnanituhumu kwa sababu nimekuwa mkweli,lakini si ajabu hata wewe umeshateleza mara nyingi tu,ila hayajakukuta,linapokuja swala la mapenzi watu tunafanya mambo ya ajabu sana,lakini kwa kuwa ni siri basi tunaziacha mioyoni mwetu,wachache tunaojitokeza na kusema yanayotusibu tunashambuliwa sana kana kwamba washambuliaji wote ni innocent kumbe na wao wana ya kwao ila hawayasemi!!
Yaani huyu mtoa mada hajielewi kabisaaaBrother jaribu kuwa serious ,hivi kweli huwezi kumtambua mwanamke aliyezaa? You must be kidding Bros
Honestly, ni umalaya tu ndo umemcost mleta mada[emoji28]Omba uhamisho rudi kwa mke wako Malaya mkubwa wewe.
Hahahahaha pambana na umalaya wako,,,wangu nnaumudu .Ahsante malaika,nitarudi kwa mke wangu!
Naamini wewe ni mtenda mema,hauna hata chembe ya dhambi,japo sina hakika kama wewe ni bikra,na possibly hata haujaolewa!!!
Wenye akili utakuwa wewe?UKiwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. ... Utashangaa hilo ..ila kwa wenye akili ........
Utaendelea kushangaa kwa uwezo wako mdogo..... Nakupa poleWenye akili utakuwa wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha pambana na umalaya wako,,,wangu nnaumudu .
Akae nao wote?[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....haahaaaPole sana mkuu, kaaa nao tu wote ila huyu wa kukata mshipa ampleke kwenye ushauri akae sawa.
Dah nihatari sanaNaomba radhi kwa picha hizi??View attachment 863293