ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
-
- #201
Mkuu tayari alishajifungua,tuna mtoto ana mwaka mmoja na miezi kadhaa!!Kumbuka ana mimba. Kujikata mshipa huo mkubwa maana yake damu itatoka kwa wingi na baadae atakuwa na upungufu wa damu, ambayo ni tatizo sasa kwa hiyo mimba. Ni rahisi kupoteza fahamu na hata maisha pia.
Na kama damu ingeendelea kutoka bila kupata msaada angekufa, halafu weka akilini nani angehusishwa na kifo hicho.
Alikuwa anajiua. Huyo ana matatizo ya akili na hana huruma hata kwa mwili wake mwenyewe
Na kwa ukweli ilikuwa ngumu sana kuchomoka,ukizingatia anajua kabisa kuwa nipo na mahusiano serious,sikufikiria kama mwisho wa siku yangekuwa haya,ni hatari kweli!!!Unamsahau huyo mwanamke aloamua kumuingiza jamaa majaribuni.! Katika hali kama hiyo unawezaje kuchomoka.?
Don't insult and play a victim.
Hahahaaa!!!Wewe ndo hatar bora anaejichanja mwenyewe
Niliamini hawezi kubeba mimba kwa sababu anajua fika kuwa nipo na mke na ana watoto wangu,lakini kubwa zaidi wanafahamiana,so ataepuka kubeba ujauzito,kumbe na yeye kichwa chake kinawaza mengine kabisaaa!!!We bwana unahatari naona unaunga juhudi za mh kufyatua tuu
Huwezi kuamini kirahisi mpaka yakufike,usiombe!Umehitahidi kutunga stori...
Mkuu natamambua fika kuwa nilikoaea sana,sana sana!!!Yaani na wewe unataka kabisa kuingia kwenye mtego wa hivyo wa kuiacha familia yako kizembe namna hiyo acha masihara basi kuwa greatman kweli Fanya maamuzi kwa ajili ya future ya yule unaetambua maisha yake, unatambulika kwao, wanamtambua kwenu
Kofia uliyo vaa ya u-greatman inaanza kupwaya kama utaendelea na maamuzi dhaifu kwenye issue serious ya maisha yako
Madam,kuna wakati inabidi kuamua hovyo kwa sababu ya sifa za mwanamke,ni mwanamke mpole na mwenye kujiheshimu sana,wakati huo huo tayari ana mtoto wangu,sikupenda kabisa kuwa na mtoto/watoto nje ya familia yangu,lakini mwisho wa siku ndo kama hivi!Kitu ambacho ni maajabu kw wanaume wengi " ile ni familia yangu kiukweli ila mwanamke yule simpendi sina hisia naye kali" unawezaje kufanya kwarudiarudia na mtu usompenda kisha kumuoa kabisa?
Hili nadhani ni suluhisho,lakini process za kuomba uhamisho Nazi zipo complex sana,ila nadhani ni wazo zuri,nikifanikiwa nitamuachia kila kitu!!!Usijutie sana kilichotokea na maamuzi yako, nachokushauri kama wewe ni mtumishi hama huko Tanga, mwachie vitu vya ndani ya nyumba/Chumba chako. Kaishi na Mkeo wa Singida, yule wa Tanga akigundua hivyo hapo baadaye hatoweza kukusumbua maana alifanya anachokijua wakati wanawake huwa wanawaza matukio ya mbali sana
Kweli kabisa kwanxa itasaidia mengi kukitoa ktk mahusiano nayr huyo so mwanamke na hakuwa muwazi kwako.. halafu ujue uko tanga utarogwaa kisawasawa hiyo tabia yako ya wanawakr najua utaacha kwa tukip hilii! Pia hata huyo mwanamke ana weza kukutengenez haswaaa ukabaki kuwa zezeta nduguu.. huyo dada sio mkweli na muwazi kwako anataka umuoe yee halafu umsaidir wanar haoo.. sikiliza mke mzur ni yule ulozaa naye watoto wawili mchukue na ishi naye ili mahusiano na huyo yaishe na umweleze kuwa huyo ni mkeo wazazi wao ndo wanamtaka na nyumba hama kabisa.. ofisin mheshimu tu kaa naye mbali usitafute chance ya kuwa naye karibu jitahidi kumkwepa ni nyoka huyooo.. then mtoto ngojea akue umchukue mwanao... polisi ni kitu cha kwanxa kwa usalaama wako na yule ulozaa naye watoto wawili.. muhimu uishi na RB na kwako mpige marufuku.. Halafu tuliza zipu ndugu yanguu....Hayaa wale wapenda picha hiyo hapo..Mkuu na haya maelezo uliyoyatoa hapa kama yalivyo kayatoe kituo cha polisi hii itakusaidia kuweka kumbukumbu sawa.
Ukipata wanao jua kulipiza utavuja hedhi maisha yako yote waulize wenzioWanaume nyie Bana Dawa yenu ni kulogwa dushe lilale tuu.
Duuh,huku sio kwa kwenda kabisa!Ukipata wanao jua kulipiza utavuja hedhi maisha yako yote waulize wenzio
Wanamambo ya ajabu awa wakina mama, ukiwa mtu wa kusamehe utakufa mapema.Duuh,huku sio kwa kwenda kabisa!
Ni hatariiii!!!
Ahsante sana kwa ushauri wako,barikiwa!Tumia kichwa cha juu fanya maamuzi huyo wa Tanga ni kahaba wa kishetani angekupa mchezo tu lakini sio kujibebesha mimba ili kumkomoa mkeo anaemfahamu kisa tu ana watoto wawili
Hisia zako kwake ni za mawenge hamna penzi la kweli hapo
Mtu unaempenda huwezi kufanya upuuzi kama huo eti kujikata mkono ili kukutisha au!!! Katoe taarifa polisi kuhusu hilo tukio
Halafu nenda singida kwa mkeo usie na hisia nae jilazimishe umkule kiroho safi rudi ofisini fanya taratibu zako uhame
Huyo mvalie mawani ya mbao
Hilo demu senge sana ukililea hivi karibuni utaitwa marehemu anao uwezo wa kukuua wewe au mkeo au watoto wako
Kuna wanawake wajinga kwelikweli
Jambo usilo lijua ni kwamba wanaume mara nyingi huoa wanawake wanaohisi hawawapendi sana kama wa huyo jamaa.Kitu ambacho ni maajabu kw wanaume wengi " ile ni familia yangu kiukweli ila mwanamke yule simpendi sina hisia naye kali" unawezaje kufanya kwarudiarudia na mtu usompenda kisha kumuoa kabisa?