Usiombe UKAWA wamechukua nchi nawe umekufa!

Usiombe UKAWA wamechukua nchi nawe umekufa!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Umewahi kusoma kitabu cha ALIYEONJA PEPO kilichoandikwa na Farouk Topan yaani si mchezo usiombe ukawa wamechukua nchi nawe umekufa...... angalia picha kwanza,
index.jpg
 
Magambaz mwaka huu hakuna pa kutokea,Ukawa wamwaka a sana huku Maalimu Seif huku Lowassa sijui mtatokea wapi !!??
 
Back
Top Bottom