Usiombe mkeo awe Afisa Mikopo

Usiombe mkeo awe Afisa Mikopo

Unajua kuna maafisa mikopo ambao wanafanya kazi ndumu sana,wewe huwezi kutembea kwa miguu kutwa yote kutoka Geita mpaka katoro kufuata marejesho,watu wenyewe hawaleti marejesho,wakileta wanatoa nusu,nusu wameficha,kwa nini usiwe mbabe na lugha zote?
 
Mkionawenzenu wanapractice nabarmed mnahis. wanapenda. wanaogopavijipain. kamahivi
 
Hahahahaha
Huyo atakuwa serious kinomaa.
Kuwa siriazi ni hulka ya kuna make wa shemeji yangu si afisa mikopo wa hafanyi kazi mahakamani lakini sijawahi kumuona akitabasamu achilia mbali kucheka wageni wanao nitembelea wanamwita bodigadi lakini ni mama wa nyumbani tu
 
Back
Top Bottom