Usiombe mkeo awe Afisa Mikopo

Usiombe mkeo awe Afisa Mikopo

Pata pesa tujue tabia yako

kazi zote huathiri wahusika......ndo maana hata walimu sometimes huwa kama watoto
sababu ya kushinda kutwa na watoto

maaskari magereza nao tabia ka za wafungwa sometimes

Na ndio maana migomo ya walimu inafeli...hawana msimamo kama mitoto
 
Mie mdogo wangu alilamba hili bingo, katoka tu chuo mwezi huohuo kaajiriwa bank fulani akapewa hiyo secta, baada ya miezi 6 bf wake akaanza kunilalamikia, mdogo wako simuelewi kabadilika cjui na nn, khaa baada ya mwezi wakaachana bila hata sababu ya maana
 
Kuna tofauti ya KAZI na TABIA ya mtu. Aina fulani ya kazi haiwafanyi watu wa kundi hilo wafanane kwa tabia.
^^

Mkuu jaribu ku-google "Role Theory" then rudia post yako

Ukiisoma kwa undani utagundua kweli "behavior" ina nafasi kubwa kuwa shaped, changed na molded na "role" anayokuwa/anayoipata mtu katika jamii fulani

Hii ni kusema, set ya majukumu aliyonayo mtu inanafasi kubwa sana ya kumbadili mtu hasa kwa kuzingatia kuwa binadamu wote ni SOCIAL BEING

Though I agree there nothing like universality kwenye theory
 
Hii kazi ina changamoto nyingi. Inahitaji mentor mzuri unapoianza ili ujue unachokifanya bahati mbaya sana taasisi nyingi hazitilii mkazo hili. Matokeo yake ndio kama haya, mtu akishashika hela kidogo za kuhongwa na kua na network na kupitia matukio kadhaa yanayochangamsha akili hujiona yupo juu na anajua yote. Asipokua makini uzoefu wa kazi yake atakua akiutumia katika kila linalomkabili. Matokeo yake kuna baadhi ya mambo atakua anaharibu pasipo yeye kujijua. Ki ufupi amateur loan officers hujitia much know hahaahaaaa.....
 
kwahiyo afisa mifugo akili yake inakuwa kama mifugooo??????

Angalia makabila ya wafugaji tu roho zao zikoje kwa maafisa mifugo naona wako sawa ila makabila ya wafugaji kidogo kuna mushkeli
 
Kuna tofauti ya KAZI na TABIA ya mtu. Aina fulani ya kazi haiwafanyi watu wa kundi hilo wafanane kwa tabia.
^^
Weeeeee..... Sasa mchukuwe mfanyakazi wa mochwari akawe mhudumu wa hotel pale kempisk uone....
 
Kama kuna ukweli, je mkeo akiwa usalama wa T, nawe utakuwa salama??????
 
Pata pesa tujue tabia yako

kazi zote huathiri wahusika......ndo maana hata walimu sometimes huwa kama watoto
sababu ya kushinda kutwa na watoto

maaskari magereza nao tabia ka za wafungwa sometimes

Ma Dr na manesi kama wagonjwa?!!
 
Pata pesa tujue tabia yako

kazi zote huathiri wahusika......ndo maana hata walimu sometimes huwa kama watoto
sababu ya kushinda kutwa na watoto

maaskari magereza nao tabia ka za wafungwa sometimes

kwel hii imenitokea mimi mwenyewe
 
Back
Top Bottom