Usiombe mkeo awe Afisa Mikopo

Usiombe mkeo awe Afisa Mikopo

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,731
Mwanzoni alikuwa ni dada mpole, mwenye lugha laini na mnyenyekevu. Miaka miwili baadaye baada ya kufanya kazi ya uafisa mikopo kwenye benki flani anajua lugha zote za vitisho, matusi, kejeli na ubabe wa kila namna.

Ama kweli hii kazi imemharibu huyu mwanamke!
 
Kuna tofauti ya KAZI na TABIA ya mtu. Aina fulani ya kazi haiwafanyi watu wa kundi hilo wafanane kwa tabia.
^^
 
Tabia haina dawa,na wengi wanakua limbukeni,na hasa senti ukianza kuzishika ukubwana ndio unafanya madudu...
 
Pata pesa tujue tabia yako

kazi zote huathiri wahusika......ndo maana hata walimu sometimes huwa kama watoto
sababu ya kushinda kutwa na watoto

maaskari magereza nao tabia ka za wafungwa sometimes
 
Pata pesa tujue tabia yako

kazi zote huathiri wahusika......ndo maana hata walimu sometimes huwa kama watoto
sababu ya kushinda kutwa na watoto

maaskari magereza nao tabia ka za wafungwa sometimes

Hahahaaa hii ni kweli maana kuna mwalimu mmoja huwa simuelewi kabisa
 
Kuna shemeji yangu alitaka kunipaga hiyo kazi ila akasema nkikupa tu na mapenzj na mdogo wangu yataisha maana hata genye utakuwa huna haifai hata kwa dawa
 
Tehe tehe, si matusi tu bali ndo hivyo tena watu wanajisaidia hapo.

Kuna watu wanakopa B. 5 anamuahidi vitz ataiacha? We sema siyo wote kujifariji.
 
Ni mama lavender au mama larry???
kama ni mkeo piga chini tu mwanamke anadomo chafu yule
 
pole mkuu. Ukiona hivyo ujue nahisi huenda akawa anaona huna maana sana kwake kwa sasa na anaona pesa yake ndio kila kitu kwake. hali hii ni hatari sana kwa ustawi wa ndoa.
 
Jamani kuwa afisa mikopo kunambadili mtu tabia kiukweli, mi mwenyewe kabla sijaanza hii kazi nilikuwa nina huruma na upole ila baada ya kuanza najiona ni mkatili sana, sina hata chembe ya huruma, ukicheka na wateja unaharibu kazi yako, na kwasababu unakutana na watu wa tabia tofauti tofauti basi wanakujenga unakuwa mtu mwingine kabisaaa
 
Back
Top Bottom