Usiombe kuingia kwenye 18 za CHATU ni hatari Sana!!

Mzaha huu ni sehem ya kuharalisha mabaya yanayofanywa na watawala ila iko siku tutatia adabu ila kwa staili you ndg zangu katu hatutopiga panda mbele
 
9aa25b84b4d835b8f74a723f84f235ba.jpg
 
hawa big cat kama simba na chui mara nyingi huwa wanaua chatu tena wakubwa.ila nao wakati mwingine wakikosea timing wanajikuta wameviringishwa na kuwa labda kitoweo au majeraha
 
Aiwezekani chatu akisha jeruiwa tuuuh kidogo awezi tena endelea na zoezi la kumeza kitu sabanu akijitanua anazidi kuchanika alipo humia
 
Hizi picha zimeeditiwa jmn.....
Huyo chatu anae kaba tembo... ni yupi? Au ni anakonda wa amazon maana ndio mkubwa... hawa wa bongo... labda akiweza sana ammeze mamba.. lakin si tembo...?
 
Kama umezaliwa Dar na kukulia Dar lazima ukubali ila sisi tuliozurula kila sehemu porini na ziwani ni kitu ambacho hakiwezekani na kuna watu wengi sana wanamuona chatu kwenye tv tu
 
Back
Top Bottom