Wenyewe mmetoka mbali toka mume hana kitu mnapigana na maisha ukiwa na matumaini ni mume wako miaka minne ya shida mnafanikiwa kupata kipato halafu mume anakumwaga tena kwa kashfa, kwa wanawake zake na talaka juu.
Wakati alikuwa anakuulilia mke wangu nakuomba usijenikimbia kwa umasikini wangu nivumilie ipo siku nitapata.
Na alivyopata akakumwaga mazima
Wakati alikuwa anakuulilia mke wangu nakuomba usijenikimbia kwa umasikini wangu nivumilie ipo siku nitapata.
Na alivyopata akakumwaga mazima