asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Poleni sana kwa yanayokukuta , ndiyo maana napenda sana life style ya jirani yangu hapa na wife wake wanatafuta pamoja na kutumia pamoja hakuna outing ya mmoja mmoja.
Jifariji inawezekana ndo walewale
Hapo ukute nia mimba alishakutundika. Ila usijali atafirisika atakua kama awali halafu hao wake zake watamwacha kama alivokuacha wewe. Amini.
laana?! Laana bongo? Tena kwa kizazi hiki cha nyoka? Ukitendwa na ukategemea laana basi ujue imekula kwako. Hapa ni jino kwa jino. Japo ulinifukuzia njiwa wangu Vaislay
Unaondoka ukiwa uchi au umevaa nguo?
Hujatueleza kisa cha kukumwaga. Hapa unaeleza mapungufu ya upande mmoja tu.Kutafuta wote siyo lazima kwamba nawe unapaswa jiona uko juu yake. Lazima kuna sababu.
Namna hii ndo mana nawashauri wadogo zangu akina miss neddy kuwa bora mwanaume mwenye hela tu hata akikumwaga hujutii sana mana umefaidi.....unasota weee then matunda anakula peke yake
Aiii!Wala usimshauri mwenzio afanye ivyo!Ukute uyo jamaa ana maradhi yake ya siku nyingi, unamtia ngeu tu anaanguka chini na kufa!Kisa cha kunyea debe maisha yako nini?Amwache tu aende zake ila malipo yake atayalipa hapa hapa duniani kabla ya kufamweke ngeu ya kumbukumbuuuuuuuuu
ha ha ha ha usiponimenton huoni raha heee.utatulipua kwa bomu la aina gani??
tulipue kwa hayo mbomu kisa lishindwa kumtongoza Vaislay
best miss neddy na my wii Dinazarde mnahitajika huku ashindwe yeye aseme sisi
Nimeona nasubiria muda atulipue akishindwaa tunamlipua siee au sio my wiiii
nasubiria na mmi wajikusanye wooote watulipue na akishindwa tutamlipua sie.
miss u much my wii